Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akubali kuipa Marekani madini yake adimu ili iendelee kupata ulinzi

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky akubali kuipa Marekani madini yake adimu ili iendelee kupata ulinzi

Hatimae tapeli kauza nchi imagine Ujinga aliokua nao huyu Kenge akatumika ili aipiganishe Russia..Watu wameuwawa kwa maelfu nchi imekatwa pande na limeendaaa....Imebomoka karibia asilimia 60....kuijenga ni mabilioni...Madini wamechukua...

Yale ya Kujinga NATO hayatawezekana tena maana Russia kagoma!!!
Na bado anatoka madarakani!!

Sasa kwanini.asingetii amri ya Russia mwanzo ili watu wasife..madini yao yasichukuliwe na zigo la madeni hilo wanalodaiwa lisiwepo!!! Mpuuzi mmoja anaharibu nchi
UKo sahihi kabisa...Ila na sisi tumeuza Bandari ya Dar es Salaam, Bagamoyo nayo IMO mbioni, baadhi ya maeneo ya mbuga za Wanyama na baadhi ya migodi...una la kusema Ndugu?! Zelensky kashikwa pabaya, na sisi je?
 
Hatimae tapeli kauza nchi imagine Ujinga aliokua nao huyu Kenge akatumika ili aipiganishe Russia..Watu wameuwawa kwa maelfu nchi imekatwa pande na limeendaaa....Imebomoka karibia asilimia 60....kuijenga ni mabilioni...Madini wamechukua...

Yale ya Kujinga NATO hayatawezekana tena maana Russia kagoma!!!
Na bado anatoka madarakani!!

Sasa kwanini.asingetii amri ya Russia mwanzo ili watu wasife..madini yao yasichukuliwe na zigo la madeni hilo wanalodaiwa lisiwepo!!! Mpuuzi mmoja anaharibu nchi
Lengo lilikuwa kupambania uhuru wa nchi yao kujiamulia mambo ya kufanya na sio kuamuliwa na Russia.
Kwa kiongozi kwenye uelewa na kwa ukubwa wa Russia alitakiwa awe ameelewa hili linalotokea mapema Sana na kulizuia. Madhara ya vita ni makubwa Sana kuliko uhuru aliokuwa anautafuta
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndo zenu hizo, blah blah tu, jibu nilichouliza, kuleta blah blah tu hapa bila jibu ni ishara ya umbumbumbu wako.
Hakuna cha maana ulicholeta kinachohitaji kujibiwa, badala yake tunakuelimisha ili utanue upeo wako juu ya maswala ya siasa za kimataifa.
 
Hakuna cha maana ulicholeta kinachohitaji kujibiwa, badala yake tunakuelimisha ili utanue upeo wako juu ya maswala ya siasa za kimataifa.
🤣🤣🤣 umeamua kuendelea na blah blah! jibu hili kwanza blah blah! si deal
"mzee putin na familia yake yeye ni nani wa kumpangia mzee zelensky na familia yake aishije, ashirikiane na nani na asijiunge nani!!"

kama hujui jibu sema sijui, blah blah sio jibu😄😄😄😄
 
🤣🤣🤣 umeamua kuendelea na blah blah! jibu hili kwanza blah blah! si deal
"mzee putin na familia yake yeye ni nani wa kumpangia mzee zelensky na familia yake aishije, ashirikiane na nani na asijiunge nani!!"

kama hujui jibu sema sijui, blah blah sio jibu😄😄😄😄
Ndio keshampangia, utafanyaje sasa?
 
kenge kama nyie hamuwezi kuyaona makosa ya jambazi Putin aliyevamia taifa la watu ila mnaona makosa ya mwathiriwa aliyevamiwa na anajitahidi kujitetea
Majambazi ni mengi Sana hapa duniani, aidha upambane nayo uyashinde au uingie nayo makubaliano yasiyoumiza taifa lako.

Kosa ni kutaka kupambana na jambazi kwa kutegemea msaada kutoka kwa majambazi wengine kama marekani.
Kabla ya kuleta kiburi zelesky alitakiwa awe na uhakika na wanaompa kiburi kutomgeuka au wapo tayari kumpelekea wanajeshi wao na vifaa na sio kumpelekea mamluki.
 
Unakubali kuingia kwenye vita na jambazi ambaye ni jirani yako kwa kutegemea msaada kutoka kwa jambazi mwingine ambaye yupo mbali na wewe.
Matokeo yake umepigika,jambazi aliyekuwa anakusaidia naye anakumalizia kwa kukufanyia ujambazi
 
Mbona BBC and CNN walikua wanasema Ukraine wanashinda?
 
Zelensky na NATO ni wajanja sana, hapo tayari imekula kwa Russia, lengo la Russia ni US asizidi kusogea mpakani kwake ndo maana akapinga sana Ukraine asijiunge NATO ili US asizidi kumzingila, Ukraine kuwa chini ya Ulinzi wa US kimkataba ni kumfanya Russia asithubutu kurusha hata jiwe Ukraine make akakuwa amechokoza walinzi😄😄😄, na hawa walinzi wana uhuru wa kuleta dhana zao zozote za ulinzi hapo kwenye lindo lao, hapo moja kwa moja NATO iko imezidi kujitanua hadi Ukraine, US ndo NATO.
Kama unafikiri kama hivi, naomba nikupe pole wewe na watu wanaokutegemea
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amekubali dili la Donald Trump la kuipa madini nchi ya Marekani, ili Marekani iweze kuendelea kuipa Ulinzi Ukraine.

Mkataba huo, ambao utaiwezesha Marekani kupata rasilimali za asili za Ukraine kwa kubadilishana na msaada wa Marekani katika vita vya Ukraine dhidi ya Russia, umeandaliwa kwa siku kadhaa.

Rais Donald Trump alisema Ijumaa kuwa utawala wake uko "karibu sana" kufikia makubaliano hayo, na Jumatatu alidokeza kuwa mkutano kati yake na Rais Volodymyr Zelenskyy unakaribia.

"Itakuwa makubaliano kuhusu madini adimu na mambo mengine kadhaa. Na, kama nilivyoelewa, anapenda kuja hapa ili kuusaini. Kwangu, hilo litakuwa jambo zuri," alisema Trump. "Nadhani kisha wanapaswa kupata idhini kutoka kwa baraza lao au chombo kingine cha maamuzi, lakini nina uhakika hilo litatokea."
==========================================================


Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has agreed to a draft of a minerals deal with the White House on Tuesday, according to reports.

Reuters reported on Tuesday that the Ukrainian leader plans to travel to D.C. on Friday to meet with President Donald Trump after the officials agreed to the terms of the deal.

The pact, which would involve giving the U.S. access to natural resources in exchange for America’s support of Ukraine amid its war with Russia, was days in the making. Trump said on Friday that his administration was "pretty close" to striking a deal, and on Monday, he hinted that a meeting between him and Zelenskyy was imminent.

"It'll be a deal with rare earths and various other things. And, he would like to come, as I understand it, here to sign it. And that would be great with me," Trump said. "I think they then have to get it approved by their council or whoever might approve it, but I'm sure that will happen."

Source: Fox News
Kama hali ndiyo hiyo Tanzania tukae kama tunanyolewa, kuna majirani wanaweza kulianzisha kwa makusudi mazima
 
Kwa mtu yeyote alieweza kusikiliza au kuangalia ule mkutano aisee dharau ya western hasa most powerful countries zile body expression zilivyojaa dharau juu ya Ukraine na anavochukuliwa eti EU wamhakikishie ulinzi 😏. Next stop will be DRC ngoja waiweke Ukraine kibindoni then will see what's next.
 
Zelensky na Boris Johnson ndo wameifikisha Ukraine hapa ilikofikia,

Johnson kamjaza Zelensky kukataa Dili la amani kule uturuki mwaka 2022,

Sahv Boris Johnson Baada ya kutumbuliwa uwaziri mkuu, Kawa mwandishi WA habari.

Nae anamnanga Zelensky kwenye magazeti
Mkuu there's always mtu wa kukujaza na anakuwa na influence ya kukujaza na hakika lazima ujae, hata asingekuwa Boris somebody else angemjaza. Ndio maana Bladmir Putin saa zote anakuwa na machale kama anauza bange. Wazungu ni watu waovu sana wakiamua jambo lao.
 
Ww mwenye fikra ndefu tuambie kulikuwa na haja gani ya zere kungangania kujiunga na Nato?
Sina fikra ndefu za kumkosoa mtu akiipigania Nchi yake yaani unafikia kimkosa mtu aliambiwa kuwa apande ndege akimbie ili Putin achukue kila kitu kweli wewe upo sawa kweli maana nimekosoa hoja yako ya kusema kwa nini aliamua kupigana vita wakati Putin alisema anachukua Nchi kwa siku tatu na leo ni mwaka wa tatu tunaenda Ukraine wapo mbali sana ukiona Nchi wanatengeneza drones wakiwa vitani harafu sisi tuwakosoe hatuna vita ila hakuna cha maana tunagundua zaidi ya kuambiwa tunapunguziwa misaada na kuanza kulia lia.
 
Back
Top Bottom