Rais wa Ukraine, Zelenskiy atangaza zoezi la kuondoa raia katika Mji wa Donetsk

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi.

Zelenskiy ametoa maagizo hayo katika taarifa yake fupi ya video, akisema kuwa Serikali yake itawasadia wote watakaohamishwa katika mahitaji yao ikiwemo fedha.

Wakazi wa hapo wametakiwa kuwa wameondoka wote kabla ya msimu wa baridi kuanza kwa kuwa bomba la gesi asilia la mkoa huo limeharibiwa na vita.

================

Zelenskyy orders Donetsk evacuations

The Ukrainian president has ordered residents to immediately leave the eastern Donetsk region. Meanwhile, Kyiv said the Ukrainian military killed scores of Russian soldiers in Kherson.

Ukraine's President Volodymyr Zelenskyy on Saturday ordered the evacuation of the eastern Donetsk region which has seen fierce clashes between Russian and Ukrainian forces.

"There's already a governmental decision about obligatory evacuation from Donetsk region," Zelenskyy said in his nightly video address. "Please, follow evacuation. At this phase of the war, terror is a main weapon of Russia."

He said hundreds of thousands of people were still living in areas of Donbas where fighting was fierce.

"If you have the opportunity, please talk to those who still remain in the combat zones in Donbas. Please convince them that it is necessary to leave, especially if they are families with children. If you have the opportunity to help displaced people, do it," he said.

Zelenskyy promised both logistical support and cash to help tide residents over.

Separately, domestic Ukrainian media outlets quoted Deputy Prime Minister Iryna Vereshchuk as saying the evacuation needed to take place before winter begins since the region's natural gas supplies had been destroyed.

Source: DW
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameamuru raia wote ambao bado wanaishi katika maeneo ya mashariki mwa mkoa wa Donetsk chini ya udhibiti wa Ukraine kuhama.

Akizungumza wakati wa hotuba ya usiku wa manane kutoka Kyiv, Bw Zelensky alionya kuhusu kuongezeka kwa mapigano.

Eneo hilo limeshuhudia mapigano makali huku kukiwa na mwendo wa polepole wa vikosi vya Urusi kusonga mbele, ambavyo tayari vinadhibiti sehemu yake kubwa.

‘’Jinsi watu wengi watakavyoondoka katika mkoa wa Donetsk sasa, ndivyo jeshi la Urusi litakavyokuwa na watu wachache kuwaua, kiongozi huyo wa Ukraine alisema.

‘’Tutatumia fursa zote zinazopatikana kuokoa maisha ya watu wengi iwezekanavyo na kupunguza ugaidi unaotekelezwa na Urusi kadiri iwezekanavyo.’’

Kuingilia kati kwa Bw Zelensky kunakuja wakati Urusi imewaalika maafisa wa Umoja wa Mataifa na Msalaba Mwekundu kuchunguza vifo vya wafungwa 50 wa vita wa Ukraine katika sehemu nyingine ya mkoa wa Donetsk inayoshikiliwa na watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi.

Wanajeshi hao waliuawa katika hali isiyoeleweka wakati wa shambulio dhidi ya gereza moja huko Olenivka, na pande zote mbili za kulaumiana.

Wakizungumza Jumamosi jioni, maafisa wa ulinzi wa Urusi walisema Moscow itakaribisha uchunguzi wenye ‘’malengo’’kuhusu tukio hilo.

Shirika la Msalaba Mwekundu lilisema siku ya Ijumaa lilikuwa linaomba ufikiaji wa kituo cha kizuizini kinachoendeshwa na Urusi na wafungwa walionusurika - lakini haikupewa ruhusamoja kwa moja.

Naibu mkuu wa ujumbe wake nchini Ukraine, Daniel Bunnskog, alisema kutoa fursa kwa wafungwa wa kivita ni wajibu chini ya Mikataba ya Geneva.

Kambi ya gereza ya Olenivka inadhibitiwa na eneo la Donetsk lililojitangazia uhuru wake linaloungwa mkono na Urusi.

Kilichotokea hapo Ijumaa bado hakijafahamika.

Picha za video za Urusi ambazo hazijathibitishwa za matokeo zinaonyesha msongamano wa vitanda vilivyoharibika na miili iliyoungua vibaya.

Siku ya Jumamosi, Urusi ilichapisha orodha ya kile ilichosema ni wafungwa wa kivita 50 waliouawa katika shambulio hilo.

Moscow inasema shambulio hilo lilitekelezwa na Ukraine kwa kutumia mfumo wa mizinga wa HIMARS uliotengenezwa Marekani.

Kyiv inakanusha kutekeleza shambulizi hilo na inadai kuwa Urusi ilifyatua risasi kwenye kituo hicho ili kuficha ushahidi wa uhalifu wa kivita.
 
Attachments

  • Screenshot_20220731-094150_Facebook.jpg
    Screenshot_20220731-094150_Facebook.jpg
    192.9 KB · Views: 6

Warusi wanasonga mbele. kwahiyo hayo machuma ya HMARS hayana msaada wowote nxdio maana yameishia kubomoa daraja lao wenyewe na kushambulia magereza kuua watu wao wenyewe
 
Wazungu wanajua kupelekesha watu,
Wazungu si watu wazuri
Wanamsumbua sana Putin. Maana Putin alitaka afanye Vita masaaa 72. Lakini ghafla nusu mwaka anapigana Vita. Anafikiri sijui atumie nyuklia lakini ataleta shida ktk dunia. Maana akiyawasha manyuklia yake kila nchi watawasha na itakuwa, ndio mwisho wa dunia yetu pendwa. Maana Germany, England, Italy, France, Canada, USA, China, Japan, India, Pakistan, North Korea, South Korea na Israel
Sasa anawaza afanyaje hana jibu na maaskari wake wanakufa ktk uwanja wa Vita.

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nadharia
 
UK alisema yupo tayari kupeleka Nuclear Poland endapo Russia akiendelea na vitisho vya Nuclear. Toka hapo, kelele za Nuclear kutoka Russia zikapungua.
 
Na Russia akipeleka nuclear Irani au Cuba au Venezuela msilielie na kutaka huruma ya dunia. Mambo mengine mnaanzisha wenyewe na wababe wakiwajibu manaanza kulialia na kusahau kama nyinyi ndio waanzilishi wa maujinga mengi yanayotokea duniani
 
UK alisema yupo tayari kupeleka Nuclear Poland endapo Russia akiendelea na vitisho vya Nuclear. Toka hapo, kelele za Nuclear kutoka Russia zikapungua.
Umepitwa na habari Mzee!

Russia ilionesha kombora lake la nuclear kwa jina la Sarmat ambalo likipigwa kutoka Russia linafika UK chini ya dakika 2.

Kombora jengine aina ya Poseidon ambalo likipigwa chini ya bahari linauwezo wa kusababisha Tsunami na kisiwa chote cha UK kufunikwa. Wakamwambia uwe makini na kisiwa chako.

Na wakasema kabisa kikinuka Russia na NATO nchi za kwanza kabisa barani la Ulaya Russia itazitwanga na nuclear zitatua ni UK, Poland na (nimeisahau).
 
Wakati anazitwanga hivyo wao watakuwa wanamuangalia tu huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635] sio???[emoji41]
 
Baada ya urus kutoa maelezo kuwa wanaweza kuizamisha uk ndan ya dakika chache kwa kutumia bom moja tu fasta wazir mkuu wa uk akaanzishiwa zengwe ajiuzulu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Akili za wafuasi wa Putin Mandingo hazina tofauti na zile za wafuasi wa Kayafa Jiwe wa Tanzania.
 
Wakati anazitwanga hivyo wao watakuwa wanamuangalia tu huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635] sio???[emoji41]
Ndugu, hili suala limeshazungumziwa kwa mapana na wataalamu tofauti tofauti wanaolenga kwenye uhalisia na mojawapo lililozungumziwa ni yupi mwenye ahueni zaidi ya mwenzake ni yule atakaemuwahi mwenzake.

Kwa nukta hii itachagizwa na ubora wa kombora lenyewe. Kwa upande wa Russia kombora la Sarmat linafika UK chini ya dakika 2; yaani chini ya sekunde 120.
 
Baada ya urus kutoa maelezo kuwa wanaweza kuizamisha uk ndan ya dakika chache kwa kutumia bom moja tu fasta wazir mkuu wa uk akaanzishiwa zengwe ajiuzulu[emoji41][emoji41][emoji41]
UK ni kakisiwa kadogo.

Ikiwa kama watu wakiumiza kichwa zaidi wakaki-modify kifaa cha Bw. Nikola Tesla kinachosababisha tetemeko la ardhi unauwezo wa kukitia hatiani hicho kisiwa.😁😁
 
Back
Top Bottom