We ziunganishe then uje na jina jipya....ukifanikiwa unijulishe kuwa wewe ni ile plane mbovu ili nikutambue.....kuna kibarua nataka nikupe ila jihakikishie kwanza privacy ya kutosha.tatizo zinanichanganya nitumie ipi niache ipi,hii naona kama naisema ndege yetu
Baada ya kugusa maslahi ya buku Saba fc basi cheo hupati tenaMimi nikiwa Rais kwanza kabisa kutakua na ban kwa yeyote anaewakwaza wadada
kuheshimu wadada itakuwa kipaumbele...
pili buku saba wote tutawafuta ili tuweze kujadili hoja bila vurugu za buku saba..
Baada ya kugusa maslahi ya buku Saba fc basi cheo hupati tena
Mkuu kuna hili neno ''INTERESTING'' ni neno la kiingereza lakini kutokana na jinsi ambavyo umekuwa ukilitumia kwa zaidi ya miaka mitatu kwenye post zako, limekuwa kama LOGO au SIGNATURE kwako.Hahaa hawa watu ni kero humu
Mkuu kuna hili neno ''INTERESTING'' ni neno la kiingereza lakini kutokana na jinsi ambavyo umekuwa ukilitumia kwa zaidi ya miaka mitatu kwenye post zako, limekuwa kama LOGO au SIGNATURE kwako.
Litakapo onekana mahali basi watu humkumbuka The Boss.....Lakini kwa siku za karibuni watu wengi wameiga matumizi yake na wengine kukushutumu....unazungumziaje hilo jambo?....unawashauri nini?
....najivunia kuwa humu"Hilo neno ni neno interesting kama lilivyo
unaweza kuona jambo la ajabu ukasema tu interesting
jambo ulilolikubali ukasema tu interesting
jambo usilolikubali na bado ukasema tu interesting.....
nimefurahi kuliongeza matumizi hapa JF ...
kabla ya hilo niliwahi kuwa na msomo JF is never boring...
huo msemo ulikuwa maarufu sana..wale members wakongwe wanaukumbuka...
so nafurahi kuchangia misemo hapa JF labda na nje ya JF.....
Nafikiri mimi na mgombea mwenzangu Nyani Ngabu ndo tunao ongoza kwa misemo yenye signature hapa...
USA baby, Miafrika ndo tulivyo........interesting...JF is never boring.....
ambacho hawajui ,members wapya ni kuwa wakati fulani hapa JF kuliwahi kuwa na kama mashindano ya kuleta
misemo........kuna members wengi walikuwa na misemo humu maarufu.....
so huu wa kwangu ni muendelezo tu wa culture hiyo.....
Members wengi wamechangia hata maneno tu tunayotumia
kugegeda ililetwa na mzabzab papuchi ililetwa na Lara1 ....
kulikuwa na zombie ...na mingine meengi...
Dah! hongereni sana wakuu, huo ndo ukongwe halisi.....Huu msemo wa jf never boring bado una application kubwa sana, hasa unapokutana na jokes.Hilo neno ni neno interesting kama lilivyo
unaweza kuona jambo la ajabu ukasema tu interesting
jambo ulilolikubali ukasema tu interesting
jambo usilolikubali na bado ukasema tu interesting.....
nimefurahi kuliongeza matumizi hapa JF ...
kabla ya hilo niliwahi kuwa na msomo JF is never boring...
huo msemo ulikuwa maarufu sana..wale members wakongwe wanaukumbuka...
so nafurahi kuchangia misemo hapa JF labda na nje ya JF.....
Nafikiri mimi na mgombea mwenzangu Nyani Ngabu ndo tunao ongoza kwa misemo yenye signature hapa...
USA baby, Miafrika ndo tulivyo........interesting...JF is never boring.....
ambacho hawajui ,members wapya ni kuwa wakati fulani hapa JF kuliwahi kuwa na kama mashindano ya kuleta
misemo........kuna members wengi walikuwa na misemo humu maarufu.....
so huu wa kwangu ni muendelezo tu wa culture hiyo.....
Members wengi wamechangia hata maneno tu tunayotumia
kugegeda ililetwa na mzabzab papuchi ililetwa na Lara1 ....
kulikuwa na zombie ...na mingine meengi...
Dah! hongereni sana wakuu, huo ndo ukongwe halisi.....Huu msemo wa jf never boring bado una application kubwa sana, hasa unapokutana na jokes.
Pia haya majina ya kugegeda na papuchi yamefit sana kwenye nafasi zake....kuna jamaa yangu anapenda kusema papuchi kama joke na alilipata hilo neno humu JF.....tukiendeleza huu utamaduni wenu tutakuza Kiswahili kwa kasi kubwa kwa kuongeza misamiati mipya....wacha nihitimishe kwa kusema INTERESTING.
JF na wanajf kwa ujumla mlichangia sana kuongeza misamiati kwenye lugha.....leo kuna watu hawaijui jf lakini ukimwambia 'mbeba box' ataelewa ni mtu anayeishi US ama Ulaya....binafsi hili neno nililisikia kwa mara ya kwanza nje ya jf....kujua lilianzia humu ni jambo la kheri sana....kweli Jf never boring.Kuna misemo miingi sana humu
hata 'wabeba box' kwa maana ya wanaoishi nje hasa marekani imeanzia humu....
hata mimi huwa nasikitika wale members wa zamani walio changia misemo ambao wamepotea
Kuna misemo miingi sana humu
hata 'wabeba box' kwa maana ya wanaoishi nje hasa marekani imeanzia humu....
hata mimi huwa nasikitika wale members wa zamani walio changia misemo ambao wamepotea
..najivunia kuwa humuNa awali kabisa FMES [Le Mutuz] aliifanya misemo ya 'heshima mbele' na 'kukata ishu' kuwa maarufu sana hapa.
Hiyo ni kati ya 2006 na 2009.
Na sasa bado anaendelea kuongeza misemo ndani na nje ya JF.
Kama vile 'le akili kubwaz'....'I'm humbled you know'....
..umevamia uzi...[HASHTAG]#najivunia[/HASHTAG] kuwa humuBongo hakuna superstar zaidi ya King MajutoView attachment 406775In Nyandu Tozz voice
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji86] kumbe una hati miliki Jf!..umevamia uzi...[HASHTAG]#najivunia[/HASHTAG] kuwa humu
Kuna misemo miingi sana humu
hata 'wabeba box' kwa maana ya wanaoishi nje hasa marekani imeanzia humu....
hata mimi huwa nasikitika wale members wa zamani walio changia misemo ambao wamepotea