Hilo neno ni neno interesting kama lilivyo
unaweza kuona jambo la ajabu ukasema tu interesting
jambo ulilolikubali ukasema tu interesting
jambo usilolikubali na bado ukasema tu interesting.....
nimefurahi kuliongeza matumizi hapa JF ...
kabla ya hilo niliwahi kuwa na msomo JF is never boring...
huo msemo ulikuwa maarufu sana..wale members wakongwe wanaukumbuka...
so nafurahi kuchangia misemo hapa JF labda na nje ya JF.....
Nafikiri mimi na mgombea mwenzangu
Nyani Ngabu ndo tunao ongoza kwa misemo yenye signature hapa...
USA baby, Miafrika ndo tulivyo........interesting...JF is never boring.....
ambacho hawajui ,members wapya ni kuwa wakati fulani hapa JF kuliwahi kuwa na kama mashindano ya kuleta
misemo........kuna members wengi walikuwa na misemo humu maarufu.....
so huu wa kwangu ni muendelezo tu wa culture hiyo.....
Members wengi wamechangia hata maneno tu tunayotumia
kugegeda ililetwa na
mzabzab papuchi ililetwa na Lara1 ....
kulikuwa na zombie ...na mingine meengi...