hongera yako unataka upewe cheo gani??The Boss, hivi karibuni mimi nimeanzisha msemo wa "alaaah, kumbe!"
Neno hili laweza kutumiwa ama kukubaliana na hoja au kauli lakini wakati huohuo likionyesha wasiwasi wa kutoafiki.
The Boss, hivi karibuni mimi nimeanzisha msemo wa "alaaah, kumbe!"
Neno hili laweza kutumiwa ama kukubaliana na hoja au kauli lakini wakati huohuo likionyesha wasiwasi wa kutoafiki.
Hmm...huo msemo mbona upo kitaa siku nyingi tu.
Au....?
Anasema umeuanzisha kutoka mtaani kuja huku!!
[HASHTAG]#najivunia[/HASHTAG] kuwa humu
Rais wa JF ni mshana jr, sababu anamaneno ya busara na hekima
Ova
Kuwa na maneno ya busara na hekima siyo kuwa na busara na hekima inawezekana huyu ndugu ana copy na kupaste maneno
InterestingMimi nikiwa Rais kwanza kabisa kutakua na ban kwa yeyote anaewakwaza wadada
kuheshimu wadada itakuwa kipaumbele...
pili buku saba wote tutawafuta ili tuweze kujadili hoja bila vurugu za buku saba..
Muda wa kampeni wiki2 mbili endelea kumwaga sera... Bado hatujashawishika vizuriNitangazwe basi
maswali yameisha na mgombea mwingine kakimbia....