Rais wa wana-JamiiForums

Rais wa wana-JamiiForums

The Boss, hivi karibuni mimi nimeanzisha msemo wa "alaaah, kumbe!"

Neno hili laweza kutumiwa ama kukubaliana na hoja au kauli lakini wakati huohuo likionyesha wasiwasi wa kutoafiki.
hongera yako unataka upewe cheo gani??
#najivunia_kuwa_humu
 
The Boss, hivi karibuni mimi nimeanzisha msemo wa "alaaah, kumbe!"

Neno hili laweza kutumiwa ama kukubaliana na hoja au kauli lakini wakati huohuo likionyesha wasiwasi wa kutoafiki.

Hmm...huo msemo mbona upo kitaa siku nyingi tu.

Au....?
 
Raisi - Nguruvi

Makamu wa Raisi - Miss Natafuta

Waziri mkuu- The Boss

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAISI KAZI MAALUM - Mshana jr.

Waziri wa mambo ya nje - Nyani Ngabu

Waziri wa mambo ya ndani- Msemaji Ukweli

Bado list inakuja.
 
Kuwa na maneno ya busara na hekima siyo kuwa na busara na hekima inawezekana huyu ndugu ana copy na kupaste maneno
 
Mimi nikiwa Rais kwanza kabisa kutakua na ban kwa yeyote anaewakwaza wadada
kuheshimu wadada itakuwa kipaumbele...

pili buku saba wote tutawafuta ili tuweze kujadili hoja bila vurugu za buku saba..
Interesting
 
Kwa mara nyingine tena rais atakapo patikana msisahau kunipa kitengo chochote cha uwaziri



Sana sana uwaziri wa habari,michezo,sanaa na utamaduni
 
Back
Top Bottom