Rais wa wana-JamiiForums

Nimeshangaa Wanawake hawapigiwi kura ya uraisi hata wa JF. 50/50 iko wapi au wanaogopa fursa. Wanawake mnaweza

Rais nampendekeza Niffah
wao wenyewe wanapendekeza wanaume..ila humu kugundua jinsia ya mtu kaziiiiiiiiiiii
 
Sawa mkuu, hesabu kura ya raisi mwanamke wa Jf..niffah

Wanawake wakihamasishwa wanaweza, ngoja niwahamasishe wawapigie kura wanawake wenzao sababu wakiamua kweli fasta tu wanachukua urais mapema
 
ngoja na mimi nimpigie Valentina
 
Tuwapigie kura Mshana J na Nyani Ngabu ila masharti ataekaepata lazima tumjue uhalisia wake jina alipo etc maana Rasis haitakiwi awe wa kificho.
 
hapo kwenye jina tutafukuza wangombea
 
ngoja na mimi nimpigie Valentina
Si utakuwa umepiga kura kwa mara ya pili?..kura imeharibika[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Labda mchague Niffah kwa sababu tukipiga kura kwa wanawake wengi tofauti kura nyingi zitapotea.
 
mkuu naona kura yako nayo iharibike kwani huyo niffah unampenda saaana
 
Tuwapigie kura Mshana J na Nyani Ngabu ila masharti ataekaepata lazima tumjue uhalisia wake jina alipo etc maana Rasis haitakiwi awe wa kificho.
Hapo kwenye uhalisia wamtu hatutapata mgombea
 
mkuu naona kura yako nayo iharibike kwani huyo niffah unampenda saaana
Kuna jamaa hapo atapigiwa kura sana na kwa Niffah hafui dafu (sijamtaja[emoji3] [emoji23] ) tunahitaji upinzani ili maendeleo yapatikane, istoshe niffah anaweza kuthubutu na mipango ya maendeleo.

Ndio..nampenda mgombea urais Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…