Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, hesabu kura ya raisi mwanamke wa Jf..niffahwao wenyewe wanapendekeza wanaume..ila humu kugundua jinsia ya mtu kaziiiiiiiiiiii
Si utakuwa umepiga kura kwa mara ya pili?..kura imeharibika[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]ngoja na mimi nimpigie Valentina
mkuu naona kura yako nayo iharibike kwani huyo niffah unampenda saaanaSi utakuwa umepiga kura kwa mara ya pili?..kura imeharibika[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]
Labda mchague Niffah kwa sababu tukipiga kura kwa wanawake wengi tofauti kura nyingi zitapotea.
Nimecheka mpaka nimemwamsha mtotomkuu naona kura yako nayo iharibike kwani huyo niffah unampenda saaana
Hapo kwenye uhalisia wamtu hatutapata mgombeaTuwapigie kura Mshana J na Nyani Ngabu ila masharti ataekaepata lazima tumjue uhalisia wake jina alipo etc maana Rasis haitakiwi awe wa kificho.
Kuna jamaa hapo atapigiwa kura sana na kwa Niffah hafui dafu (sijamtaja[emoji3] [emoji23] ) tunahitaji upinzani ili maendeleo yapatikane, istoshe niffah anaweza kuthubutu na mipango ya maendeleo.mkuu naona kura yako nayo iharibike kwani huyo niffah unampenda saaana
Nimeongezea pale kwenye list...Raisi: mshana jr
Makamu: Asmaa80
Utapigwa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]umetumwa??ebu soma majadiliano yote uone hao wa kipindi kile kama hawapo
Wapo wengi kuna mwingine yeye alianzisha uzi kabisa kuwa msemo wa majipu kauanzisha yeye.Hmm...huo msemo mbona upo kitaa siku nyingi tu.
Au....?
Ulikuwa mjadala mrefu sana wadau wakamuuliza akama yeye ndio kalianzisha au jibu hakutupa.neno lipo kwenye kamusi yeye anasema lake LOL
Muda wa kampeni wiki2 mbili endelea kumwaga sera... Bado hatujashawishika vizuri