Rais wa wana-JamiiForums

kura yako imeharibika
Hivi wewe zimetimia kweli? wewe umeitisha uchaguzi bila kuwa na wagombea?

Jf kuna washirika zaidi ya 350k, ulitakiwa usample walau watu kumi na mamakamu wao ili tuwapigie kura....ila wewe hujafanya hivyo.

Je 2020 ukienda kwenye kituo cha kupiga kura alafu ukakuta wagombea wa urais wapo 50M, uoni huo utakuwa uchauzi wa mata.hira?....na atakaeandaa huo uchaguzi atakuwa ana akili timamu?
 
chagua kati ya hao laki tatu!!acha kukurupuka fyuuuuuuuuuu
 
Akipatikana raisi mniambie ili nami nigombee nyazifa.
 
Hiyo mambo yakutana rais ovyo ovyo ilishaondoka ilishaondoka JK,apa tuna rais mmoja tu JPM bhaaaaaasi!
Mambo ya kujiita rais sijui wa wasafi,rais wa akudo,rais wa mchiriku,kisingeli ni upuuzi mtupu.
Ebu toa usengerema wako, kila kitu jpm.
Sipendi ujinga mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…