Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitachoma mjengo wote muungulie humu kura yangu isipohesabikayou have been awarded a trophy😎
Hivi wewe zimetimia kweli? wewe umeitisha uchaguzi bila kuwa na wagombea?kura yako imeharibika
chagua kati ya hao laki tatu!!acha kukurupuka fyuuuuuuuuuuHivi wewe zimetimia kweli? wewe umeitisha uchaguzi bila kuwa na wagombea?
Jf kuna washirika zaidi ya 350k, ulitakiwa usample walau watu kumi na mamakamu wao ili tuwapigie kura....ila wewe hujafanya hivyo.
Je 2020 ukienda kwenye kituo cha kupiga kura alafu ukakuta wagombea wa urais wapo 50M, uoni huo utakuwa uchauzi wa mata.hira?....na atakaeandaa huo uchaguzi atakuwa ana akili timamu?
Kumbe ni haki yako kufanya unayofanya.chagua kati ya hao laki tatu!!acha kukurupuka fyuuuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hauruhusiwi kuongea kwenye kituo cha kupigia kura...teee tee
I won't wonder missing a trophy coz am not BARCELONA FC under Guardiola management.you have not awarded any trophy
Hahahaaa.... Spika? [emoji12]wewe utakuwa spika wa bunge
Ebu toa usengerema wako, kila kitu jpm.Hiyo mambo yakutana rais ovyo ovyo ilishaondoka ilishaondoka JK,apa tuna rais mmoja tu JPM bhaaaaaasi!
Mambo ya kujiita rais sijui wa wasafi,rais wa akudo,rais wa mchiriku,kisingeli ni upuuzi mtupu.
Mwambie asogee mita 200 baada ya kupiga kurahauruhusiwi kuongea kwenye kituo cha kupigia kura...teee tee
Hatuwezi kuwa na raisi mchawiUkipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting