Rais wa wana-JamiiForums

Rais wa wana-JamiiForums

Wakati huo mgombea wa2 Kiranga ujiandae na sera zako...

Muda wa kampeni ndo ushafika tushawishi wanachi wako tukikupatia urais wa jf kipi ambacho utafanya? Karibu utushawishi
 
Mgombea wa3 The Boss tunasubiri sera zako

Unahisi unahitaji urais wa jf? Kama ndiyo yepi tutegemee toka kwako kama ukishinda?
 
I am the Boss .....sigombei chochote....
matokeo yoyote yale nitabaki The boss....mshindi asubiri kupokea maagizi tu kutoka kwangu ha haa
Teh hapa naona dalili zote za Ngabu kupita kiulaini bila upinzani...

mshana jr unaingia kwenye kinyang'anyiro au nawe unasarenda?
 
Teh hapa naona dalili zote za Ngabu kupita kiulaini bila upinzani...

mshana jr unaingia kwenye kinyang'anyiro au nawe unasarenda?
Umeona eeh...

Wameona hawana kabisa nafasi imebidi waje na visingizio.

Ngabu anatisha....yuko juu kama mbingu!
 
Kwanini asiwe tu Paw.

Nafasi nyingine mnapewa halafu huwezi kubadili chochote.
 
Back
Top Bottom