The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
nafikiria kurudi kugombea......ili niheshimu walionipendekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
very interesting .....interesting
1.Mkuu ebu eleza mikakati yako juu ya ID mchepuko? je ni halali?Umeona eeh...
Wameona hawana kabisa nafasi imebidi waje na visingizio.
Ngabu anatisha....yuko juu kama mbingu!
alafu pia threads zinazofutwa ziwe kwenye sehemu maalumu ambapo mtu anaweza kwenda kuangalia na kuambiwa sehemu za kubadilisha!!1.Mkuu ebu eleza mikakati yako juu ya ID mchepuko? je ni halali?
2.Baada ya mtu kupewa ban, atapata nafasi ya kujitetea maana kumpiga ban mtu anayemiliki ID 10 ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
3.Utasuluhisha vipi mgogoro kati ya ''makapuku'' na wakongwe wanaodhaniwa kuwa ma cyber bullers?
Mkuu naona una mawazo kama yale ya Economist anayedai kuombwa kuugombe tangu demokrasia ilipo ingia TZ...ebu jibu post namba 124.nafikiria kurudi kugombea......ili niheshimu walionipendekeza
We ntangaze tu bana...au unataka kuwa kama Jecha?nakaribia kumtangaza mshindi
Ohooo....naanza kunusa harufu ya uchakachuzi.Ngoja kwanza apatikane mpinzani wake
Huyu ngosha atajidai sana
Mkuu naona una mawazo kama yale ya Economist anayedai kuombwa kuugombe tangu demokrasia ilipo ingia TZ...ebu jibu post namba 124.
kwa kweli "The Boss Utakuwa Waziri Wa Mambo ya Banning"Mimi nafikiri suala la ban litazamwe upya
watu wapewe nafasi ya kujitetea kabla ya ban
na kuhusu Makapuku siamini kama wana mgogoro na wakongwe
nafikiri watu wawaache makapuku wawe free kuendeleza movement yao
Mzee wa kubadili gia angani[emoji23] [emoji23]nafikiria kurudi kugombea......ili niheshimu walionipendekeza
Mzee wa kubadili gia angani[emoji23] [emoji23]
Namimi ningekua mbeba mizigo wako
Kubadili gia angani hakuruhusiwiNiliona nisije kupoteza 'bahati' kirahisi tu...
so the game is on....ha ha haaa
Kubadili gia angani hakuruhusiwi
Mwaga sera tushawishikeNiliona nisije kupoteza 'bahati' kirahisi tu...
so the game is on....ha ha haaa
Nakusaka kuleHahaa ungefaidi mno