PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma yake ya kujitosa kwenye Siasa.

Pia, Soma: Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said aboresha taarifa zake za Mpiga Kura Kigamboni

 
Hakuna biashara inayolipa sasa hivi kama siasa. Ni vile sipendi kuongea uongo na kufanya mambo ambayo, nitatengana na Mungu wangu. Ila ningeenda kwenye hii biashara.
Siyo kweli,hailipi,inawafaa zaidi wafanyabiashara wakubwa kwa ajili ya lobbying
 
Alikutapeli nini, tukiachana na mambo ya Simba na Yanga
#Huyu jamaa ubongo wake unafanya kazi shida ni chama alichochagua
Unafanya kazi ya kuwapokea Kaizer Chiefs, Kuinanga Simba dhidi ya Berkane (second meeting) akiwa na kina Kisinda, Inafanya kazi kwa kukubali kubebwa kama mfalme na Wana Yanga? Au wewe ubongo kufanya kazi unamaana ipi?


Huyu hana cha akiki kufanya kazi na akiwa na madaraka makubwa ni mtu hatari sana.
 
Back
Top Bottom