PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

PreGE2025 Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said: Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu tayari atatangaza nia kwa kauli hii , ila ktk siasa kutangaza nia kitu kingine na kushinda ( wajumbe ) kura ni kitu kingine
 
Kwa kitendo cha kujitambulisha na kumsifia chair, tayari watu wazima tulielewa nia na madhumuni ya Eng 🤣
 
Alikutapeli nini, tukiachana na mambo ya Simba na Yanga
#Huyu jamaa ubongo wake unafanya kazi shida ni chama alichochagua
sema jamaa anapenda kufanya vitu na kuona vikitokea jambo ambalo kwenye siasa atakutana vizingiti kibao hatimae nae ataonekana wa kawaida tu
 
Mimi chadema, akigombea injinia naachana na no reform no election
 
Je, kuna mfungamano wowote kati ya Dar Young Africans na CCM?

Nimekaa pale 🐼
 
Je, kuna mfungamano wowote kati ya Dar Young Africans na CCM?

Nimekaa pale 🐼
Hiyo nafasi ni njia ya kupitia. Waja wakishaona njia ya mafanikio watajazana hapo. Ni juu ya team yenyewe waamue kama hawataki kuwa uchochoro
 
CCM na JANGWANI ni damu damu wale, huwezi watenganisha, tafiti zinasema.
 
Wengi tulijua hilo. Yanga ilikuwa ni ngazi ya kujulikana ili aingie kwenye siasa
 
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma yake ya kujitosa kwenye Siasa.

Pia, Soma: Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said aboresha taarifa zake za Mpiga Kura Kigamboni

Kumbe naye ni mbogamboga
 
Back
Top Bottom