Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Alikutapeli nini, tukiachana na mambo ya Simba na YangaTapeli.
Siasa ninbiashara iliyoko hot cake muda huuHakuna biashara inayolipa sasa hivi kama siasa. Ni vile sipendi kuongea uongo na kufanya mambo ambayo, nitatengana na Mungu wangu. Ila ningeenda kwenye hii biashara.
Msomali ameshachungulia fursaTapeli.
Watalindaje biashara zao haramu?Angebaki kwanye soka kama Wallace Karia ingekuwa vyema sana. Angefika mbali sana kama angechagua kubaki kwenye michezo kuliko siasa. Rege angeweza kumshauri zaidi zaidi kuhusu siasa.
Mama yako aliekuza ndio tapeli hadi alifanikiwa kumdanganya baba yako.Tapeli.
Msomali ameshachungulia fursa
Kama yule mkamba wenu aka Lema alivyokimbia machame hadi ArushaMsomali ameshachungulia fursa
Msomali ameshachungulia fursa
Kama yule mkamba wenu aka Lema alivyokimbia machame hadi ArushaMsomali ameshachungulia fursa
Unauchungu na injinia hersi utafikiri umezaa nae mapachaMama yako aliekuza ndio tapeli hadi alifanikiwa kumdanganya baba yako.
Tulia UWTKama yule mkamba wenu aka Lema alivyokimbia machame hadi Arusha
Siyo kweli,hailipi,inawafaa zaidi wafanyabiashara wakubwa kwa ajili ya lobbyingHakuna biashara inayolipa sasa hivi kama siasa. Ni vile sipendi kuongea uongo na kufanya mambo ambayo, nitatengana na Mungu wangu. Ila ningeenda kwenye hii biashara.
Unafanya kazi ya kuwapokea Kaizer Chiefs, Kuinanga Simba dhidi ya Berkane (second meeting) akiwa na kina Kisinda, Inafanya kazi kwa kukubali kubebwa kama mfalme na Wana Yanga? Au wewe ubongo kufanya kazi unamaana ipi?Alikutapeli nini, tukiachana na mambo ya Simba na Yanga
#Huyu jamaa ubongo wake unafanya kazi shida ni chama alichochagua