Usingekuwa unatumia jina fake ,nawe tungezaa nawe fastaaaUnauchungu na injinia hersi utafikiri umezaa nae mapacha
Hivi yule mmeo mzee Mbowe anaendeleaje ?Tulia UWT
Nitakutrain kuongea uongo , go aheadHakuna biashara inayolipa sasa hivi kama siasa. Ni vile sipendi kuongea uongo na kufanya mambo ambayo, nitatengana na Mungu wangu. Ila ningeenda kwenye hii biashara.
Uko wapi dada angu?Hivi yule mmeo mzee Mbowe anaendeleaje ?
CCM kinachoamua matokeo ni rushwa na ushirikinaHuyu tayari atatangaza nia kwa kauli hii , ila ktk siasa kutangaza nia kitu kingine na kushinda ( wajumbe ) kura ni kitu kingine
Hahahahaha.CCM kinachoamua matokeo ni rushwa na ushirikina
sema jamaa anapenda kufanya vitu na kuona vikitokea jambo ambalo kwenye siasa atakutana vizingiti kibao hatimae nae ataonekana wa kawaida tuAlikutapeli nini, tukiachana na mambo ya Simba na Yanga
#Huyu jamaa ubongo wake unafanya kazi shida ni chama alichochagua
Hiyo nafasi ni njia ya kupitia. Waja wakishaona njia ya mafanikio watajazana hapo. Ni juu ya team yenyewe waamue kama hawataki kuwa uchochoroJe, kuna mfungamano wowote kati ya Dar Young Africans na CCM?
Nimekaa pale 🐼
PamojaHahahahaha.
Njoo ukalie Chupa ta bia mkuuUko wapi dada angu?
Kama ambavyo pimbi Mrema alivyopenyeza hadi akawa mkurugenzi pale chademaCCM kinachoamua matokeo ni rushwa na ushirikina
Kumbe naye ni mbogambogaRais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said, amesema kuwa suala la kutangaza nia ya kugombea litategemea muda sahihi, na kwamba atatoa uamuzi huo pale utakapowadia. "Ukifika wakati sahihi wa kutangaza nia basi nitatangaza," amesema Eng. Hersi, huku akijibu maswali na Kituo cha Redio EFM kuhusu hatma yake ya kujitosa kwenye Siasa.
Pia, Soma: Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said aboresha taarifa zake za Mpiga Kura Kigamboni
Mbona hilo lipo wazi chief.Kumbe naye ni mbogamboga