Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
228
Reaction score
933
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School

Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
 
POnjoro akiona mambo ya masomo masomo
1000448172.jpg
 
Taja mafanikio yake nione hiyo tofauti na wengine wewe mwenye akili.
Mimi bhana huyu Eng simdai kabisa kwa Yanga hii ya sasa ufananishe na ile ya kina Edibili Lunyamila wachezaji wananunuliwa kwa kupigwa picha hela zipo mezani ufananishe na hii Yanga leo wachezaji nao wanauzwa Wydad mkuu kweli upo serious kwenye hili Yanga ambayo sasa hivi kupita makundi imekua kawaida mazee wakati tulikua tunasotea wa mwisho huko katika timu zote..
 
Kila hatua huwa na mafanikio yake
Yanga imara ni Ile iliyofanikiwa kushika eneo pale jangwani ikajenga uwanja mkubwa kwa wakati wao na kujenga jengo refu kabisa kariakoo
Ikamuuza Sunday Manara na Shabani Nonda hadi wakacheza ulaya
Pale ambapo uongozi wa Hers utajenga uwanja na sport center hapo nitaona umeacha legacy sio hizi PR za Sasa
 
Madrid,Barcelona,Bilbao ukiangalia historia zao leo wana viwanja bora Duniani kwa sababu ya hatua kukiwekwa mifumo mizuri watakaokuja mbele watajenga kwa sababu ya mifumo sio lazima mtu fulani ajenge ni mfumo mazee Timu ikiwa bora Uwanjani hivyo vitu baadae vitafanyika kama wataendelea kupata viongozi wenye vision ya Eng Hersi Uwanja wa kisasa sio nyumba mkuu kwamba utapanga leo mwezi ujao ujenzi unaanza ni mipango ya muda mrefu wanaweza kuingia mikataba na Bank wakaamua kujenga ila sio leo na bank wanataka security pia ya fedha zao..
 
Sawa
 
Akirudi huku aje kufananishwa na kina Ngungu's. Maisha sio fair kabisa
Wenzake walisoma shahada za uzamili hapo Havard, yeye anasomea certificate ya michezo. Aje kujenga uwanja, alisema afe beki afe kipa atajenga uwanja ndani ya miaka minne, ushahidi wa video upo, hadi CAS tutaenda
 
Kila hatua huwa na mafanikio yake
Yanga imara ni Ile iliyofanikiwa kushika eneo pale jangwani ikajenga uwanja mkubwa kwa wakati wao na kujenga jengo refu kabisa kariakoo
Ikamuuza Sunday Manara na Shabani Nonda hadi wakacheza ulaya
Pale ambapo uongozi wa Hers utajenga uwanja na sport center hapo nitaona umeacha legacy sio hizi PR za Sasa
Yanga haijawahi muuza Shaaban Nonda popote pale.
 
Madrid,Barcelona,Bilbao ukiangalia historia zao leo wana viwanja bora Duniani kwa sababu ya hatua kukiwekwa mifumo mizuri watakaokuja mbele watajenga kwa sababu ya mifumo sio lazima mtu fulani ajenge ni mfumo mazee Timu ikiwa bora Uwanjani hivyo vitu baadae vitafanyika kama wataendelea kupata viongozi wenye vision ya Eng Hersi Uwanja wa kisasa sio nyumba mkuu kwamba utapanga leo mwezi ujao ujenzi unaanza ni mipango ya muda mrefu wanaweza kuingia mikataba na Bank wakaamua kujenga ila sio leo na bank wanataka security pia ya fedha zao..
Wakati anaomba uongozi ulisikia ahadi zake?
 
Yanga haijawahi muuza Shaaban Nonda popote pale.
Ni kweli kabisa, Nonda aliondoka mwenyewe kwenda Vaal Professionals ya South Africa na wala watu hawakujali. Baada ya hapo akaibuka Ulaya, ndio utopolo wakaanza kusema ni mchezaji wetu 😂
 
Back
Top Bottom