Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

We ni kizazi kipya Cha chawa kilichoibuka nchini kazi yenu ni kula vumbi kenge kabisa
Huna hoja! hio miundombinu unayosema itajengwa vipi kama timu haifanyi vizuri? Ili wanachama wajiandikishe, fan base iwe kubwa, uuze wachezaji ,merchandise na deals utazipata vipi kama timu ni dhoofu? au unaongea tu kama umekalia Gogo! Kitu cha kwanza ni kuhakikisha taasisi ipo stable hata ukienda bank una confidence ya kuonesha project yako mnafanya biashara bila wasi wasi
 
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School

Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
Angesomea Sheria ili apambanie timu yake na kesi za CAS pamoja na mikataba mibovu ya wachezaji..
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kiuhalisia Ndg. Hersi ndio kiongozi mwenye maono na uwezo mkubwa kwa club ya Young African Sc, nakadiria kwa performance ni 50% ya mafanikio yote ya Club huyu ndio amechangia (commander). Kwa club ya Simba sc wana viongozi wazuri wengi ila mwenye uwezo wa Hersi naona ni Mo Dewji ndio anaweza mpita huyu mwamba na Mo anamajukumu mengi ya kuendesha taasisi nyingi. Na structure ya uongozi wa Yanga ni nzuri kwenye utekelezaji wa majukumu kuliko ya Simba ina mlolongo mrefu walaji wengi hivyo inaweza kufanya baadhi ya uwezo wa baadhi ya viongozi uko limited sana tofauti na Yanga wame combined pznde mbili nakupata muimili mmoja.
 
nyie ndio mashabiki tunao wahitaji humu
 
Wenzake walisoma shahada za uzamili hapo Havard, yeye anasomea certificate ya michezo. Aje kujenga uwanja, alisema afe beki afe kipa atajenga uwanja ndani ya miaka minne, ushahidi wa video upo, hadi CAS tutaenda
Hivi unaelewa maana ya short Training?

Training kama hizo Havard zipi kibao, tuu na hiyo nafasi kapewa na FIFA na bila kusahau anaunganisha na mwaliko wa kwenda kwenye ufunguzi wa mashindano ya club za FIFA. Hiyo program ipo kwa ajili ya kuwajengea uwezo Viongozi kwenye michezo, kwenye darasa lake wapo watu wa baseball, American football, basketball nk.

Training kama hizo hata Pique kishaudhuria na tena yeye akapiga mpaka short Training upande wa ujasilimia na uwekezaji.Sio lazima uwanja ajenge yy,hata akiacha mipango inatosha,AC Milan na Inter club kubwa duniani na hazina uwanja. Mbona nyie Kolo FC mpaka sasa hamjui bil 20 ,mlizo ambiwa zipo wapi.Mkifungwa mnaanza kuulizia bil 20.
 
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School

Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
Akitoka huko atakuwa
Doctor Engineer Hersi Said.😎
 
Wenzake walisoma shahada za uzamili hapo Havard, yeye anasomea certificate ya michezo. Aje kujenga uwanja, alisema afe beki afe kipa atajenga uwanja ndani ya miaka minne, ushahidi wa video upo, hadi CAS tutaenda
Wajinga ndio waliwao na wewe ndio mjinga mwenyewe wa kwanza. Mnatunza video za rais wa Yanga na wewe ni kolo hiyo kauli aliitoa kwa ajili yenu.
 
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School

Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
Harvard siku hizi nao wanapokea Wapumbavu?
 
AC Milan, Inter Milan na Chelsea wote hawana Viwanja
Sasa ahadi ya uwanja isiwe inatolewa na Hawa ac na inter hawajawahi kutoka hapo kwenye huo uwanja na kwenda sijui Turin au Maradona Napol Kila siku wapo hapo
Club mara iko Uhuru stadium mara Mkapa stadium
Mara amani stadium mara Azam complex Sasa kmc complex halafu unasema AC na Inter
Chawaaaaa
 
Bila uwanja na sports center ya club uongozi wake hautakuwa na tofauti na viongozi waliopita zingine hizi ni PR na propaganda
Kweli hayo ni mambo yake tunashukuru anaongeza ujuzi. Uwanja unatakiwa, aache alama.
 
Back
Top Bottom