Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Watu msiokua na akili hua mna confidence ya hatariBila uwanja na sports center ya club uongozi wake hautakuwa na tofauti na viongozi waliopita zingine hizi ni PR na propaganda
Taja mafanikio yake nione hiyo tofauti na wengine wewe mwenye akili.Watu msiokua na akili hua mna confidence ya hatari
Mimi bhana huyu Eng simdai kabisa kwa Yanga hii ya sasa ufananishe na ile ya kina Edibili Lunyamila wachezaji wananunuliwa kwa kupigwa picha hela zipo mezani ufananishe na hii Yanga leo wachezaji nao wanauzwa Wydad mkuu kweli upo serious kwenye hili Yanga ambayo sasa hivi kupita makundi imekua kawaida mazee wakati tulikua tunasotea wa mwisho huko katika timu zote..Taja mafanikio yake nione hiyo tofauti na wengine wewe mwenye akili.
Kila hatua huwa na mafanikio yakeMimi bhana huyu Eng simdai kabisa kwa Yanga hii ya sasa ufananishe na ile ya kina Edibili Lunyamila wachezaji wananunuliwa kwa kupigwa picha hela zipo mezani ufananishe na hii Yanga leo wachezaji nao wanauzwa Wydad mkuu kweli upo serious kwenye hili Yanga ambayo sasa hivi kupita makundi imekua kawaida mazee wakati tulikua tunasotea wa mwisho huko katika timu zote..
Huwa nawauliza watu akiondoka Leo yanga itamkumbuka kwa lipi kwa miaka mingi baadaeKikubwa Atimize ahadi zake za Uchaguzi.
Mashabiki wa yanga sio wapumbavu kihivyo.
NO REFFORMS NO ELECTION
Madrid,Barcelona,Bilbao ukiangalia historia zao leo wana viwanja bora Duniani kwa sababu ya hatua kukiwekwa mifumo mizuri watakaokuja mbele watajenga kwa sababu ya mifumo sio lazima mtu fulani ajenge ni mfumo mazee Timu ikiwa bora Uwanjani hivyo vitu baadae vitafanyika kama wataendelea kupata viongozi wenye vision ya Eng Hersi Uwanja wa kisasa sio nyumba mkuu kwamba utapanga leo mwezi ujao ujenzi unaanza ni mipango ya muda mrefu wanaweza kuingia mikataba na Bank wakaamua kujenga ila sio leo na bank wanataka security pia ya fedha zao..Kila hatua huwa na mafanikio yake
Yanga imara ni Ile iliyofanikiwa kushika eneo pale jangwani ikajenga uwanja mkubwa kwa wakati wao na kujenga jengo refu kabisa kariakoo
Ikamuuza Sunday Manara na Shabani Nonda hadi wakacheza ulaya
Pale ambapo uongozi wa Hers utajenga uwanja na sport center hapo nitaona umeacha legacy sio hizi PR za Sasa
SawaMadrid,Barcelona,Bilbao ukiangalia historia zao leo wana viwanja bora Duniani kwa sababu ya hatua kukiwekwa mifumo mizuri watakaokuja mbele watajenga kwa sababu ya mifumo sio lazima mtu fulani ajenge ni mfumo mazee Timu ikiwa bora Uwanjani hivyo vitu baadae vitafanyika kama wataendelea kupata viongozi wenye vision ya Eng Hersi Uwanja wa kisasa sio nyumba mkuu kwamba utapanga leo mwezi ujao ujenzi unaanza ni mipango ya muda mrefu wanaweza kuingia mikataba na Bank wakaamua kujenga ila sio leo na bank wanataka security pia ya fedha zao..
Wenzake walisoma shahada za uzamili hapo Havard, yeye anasomea certificate ya michezo. Aje kujenga uwanja, alisema afe beki afe kipa atajenga uwanja ndani ya miaka minne, ushahidi wa video upo, hadi CAS tutaendaAkirudi huku aje kufananishwa na kina Ngungu's. Maisha sio fair kabisa
Yanga haijawahi muuza Shaaban Nonda popote pale.Kila hatua huwa na mafanikio yake
Yanga imara ni Ile iliyofanikiwa kushika eneo pale jangwani ikajenga uwanja mkubwa kwa wakati wao na kujenga jengo refu kabisa kariakoo
Ikamuuza Sunday Manara na Shabani Nonda hadi wakacheza ulaya
Pale ambapo uongozi wa Hers utajenga uwanja na sport center hapo nitaona umeacha legacy sio hizi PR za Sasa
Wakati anaomba uongozi ulisikia ahadi zake?Madrid,Barcelona,Bilbao ukiangalia historia zao leo wana viwanja bora Duniani kwa sababu ya hatua kukiwekwa mifumo mizuri watakaokuja mbele watajenga kwa sababu ya mifumo sio lazima mtu fulani ajenge ni mfumo mazee Timu ikiwa bora Uwanjani hivyo vitu baadae vitafanyika kama wataendelea kupata viongozi wenye vision ya Eng Hersi Uwanja wa kisasa sio nyumba mkuu kwamba utapanga leo mwezi ujao ujenzi unaanza ni mipango ya muda mrefu wanaweza kuingia mikataba na Bank wakaamua kujenga ila sio leo na bank wanataka security pia ya fedha zao..
Ni kweli kabisa, Nonda aliondoka mwenyewe kwenda Vaal Professionals ya South Africa na wala watu hawakujali. Baada ya hapo akaibuka Ulaya, ndio utopolo wakaanza kusema ni mchezaji wetu 😂Yanga haijawahi muuza Shaaban Nonda popote pale.
Siwezi kuhangaika na mtu ambae hana akili! Kama huoni alicho fanya Hersi unataka tujadili nini?Taja mafanikio yake nione hiyo tofauti na wengine wewe mwenye akili.
Mtu unaongozwa na Mangungu unajiona una akiliWenzake walisoma shahada za uzamili hapo Havard, yeye anasomea certificate ya michezo. Aje kujenga uwanja, alisema afe beki afe kipa atajenga uwanja ndani ya miaka minne, ushahidi wa video upo, hadi CAS tutaenda
Wakati anaomba uongozi ulisikia ahadi zake?
We ni kizazi kipya Cha chawa kilichoibuka nchini kazi yenu ni kula vumbi kenge kabisaSiwezi kuhangaika na mtu ambae hana akili! Kama huoni alicho fanya Hersi unataka tujadili nini?