GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said.
Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo.
Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata (kuchanganyikiwa)! Hivi kwa Rais mzima na tena msomi wa Engineering na una 'exposure' ya kusafiri nchi mbalimbali umeshindwa kujua hakuna nchi iitwayo Tunis bali kuna Mji Mkuu uitwao Tunis unaowakilisha nchi ya Tunisia.
Ndiyo maana tumekwambia waombe radhi (msamaha) wana Yanga SC wote kwa kuwaita wala mihogo (ukimaanisha ni watu masikini), kwani huenda huku kujichanganya na kukosea kwako ikawa ni sehemu ya laana zao kwako na usipokuwa makini wanaweza hata kukufanya ukawa taahira muda si mrefu.