PostGE2025 Rais wa zamani Botswana: Samia sio Rais wa Wananchi, Awataka SADC kutomtambua Samia Kama Rais

PostGE2025 Rais wa zamani Botswana: Samia sio Rais wa Wananchi, Awataka SADC kutomtambua Samia Kama Rais

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Dunia imepona Kila kitu
============
"Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama. “SAMIA SULUHU si rais wa Tanzania. Hana uhalali wowote.”

 
Huyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
 
Huyu ilitakiwa ateuliwe na jumuiya ya madola kuja kuchunguza na sio chakawela
 
Huyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
Mkuu si kweli uyasemayo, Katiba ya Botswana haimruhusu rais mstaafu kugombea tena urais baada ya kumaliza mihula miwili ya uongozi.

Katiba ya Botswana inaweka wazi kwamba rais wa nchi hiyo anaweza kuhudumu kwa mihula miwili tu ya miaka mitano kila mmoja. Hii ina maana kuwa mtu aliyewahi kuwa rais kwa kipindi cha miaka kumi (mihula miwili) hawezi tena kugombea urais.

- Mfano wa Kivitendo: huyu rais Ian Khama anayemkosoa bi kibwengo alihudumu kwa miaka kumi (mihula miwili) na alijiuzulu mwaka 2018, akimwachia madaraka makamu wake Mokgweetsi Masisi. Hii ilikuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi hiyo.Hivyo huyu ni mwna demokrasia na hawezi kuwaza kuja kugombea Tena madaraka ,Hana tamaa ila anajaribu kumpasha bi kibwengo kwa kukwapua urais wa Bure

Baada ya kustaafu, Ian Khama alionyesha nia ya kurejea kwenye siasa lakini si kwa lengo la kugombea urais maana anajua katiba yao hairuhusu Hali hiyo,hivyo acha kutudanganya

Botswana ni mojawapo ya nchi chache barani Afrika zilizo na historia ya kuheshimu ukomo wa mihula ya uongozi wa rais, jambo linaloonyesha uimara wa taasisi zake za kidemokrasia.
 
Dunia yote imemkataa.Sijui atakuwa mgeni wa nani na anavyopenda kusafiri sasa.kwa Sasa safari zake zitakuwa kizimkazi na Tanganyika tu
 
Hizi mambo bana, hawamtambui Samia ila wanamtambua Mseven wa Uganda na Kagame wa Rwanda pamoja na wengine wengi wanaosigina katiba zao

Kwa Afrika hii hakuna wa kumtambua mwenzake wote ni walewale tu
 
Hizi mambo bana, hawamtambui Samia ila wanamtambua Mseven wa Uganda na Kagame wa Rwanda pamoja na wengine wengi wanaosigina katiba zao

Kwa Afrika hii hakuna wa kumtambua mwenzake wote ni walewale tu
Mseveni huyu huyu aliepata kura 51% kwenye uchaguz uliopita huyuhuyu ambae 43% ya majimbo yalienda upinzani,,, afu linganisha na CCM
 
Mseveni huyu huyu aliepata kura 51% kwenye uchaguz uliopita huyuhuyu ambae 43% ya majimbo yalienda upinzani,,, afu linganisha na CCM
Kwahiyo Uganda wana tume huru? Kama ni kweli basi waganda wanampenda Sana mseveni maana na uzee wote ule ila yeye ndio ana uwezo pekeake wa kuliongoza taifa na sasa anamuandaa mwanae
 
Back
Top Bottom