Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kila mtu apambane na hali yakeHuyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
Katiba ya Botswana unaijua?Huyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
Unafahamu anayopitia?Katiba ya Botswana unaijua?
Mkuu si kweli uyasemayo, Katiba ya Botswana haimruhusu rais mstaafu kugombea tena urais baada ya kumaliza mihula miwili ya uongozi.Huyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
Siyo sababu. Kasema ukweli kuwa Kuna north Korea imechipukia sadc.Huyu ana struggle kurudi madarakani, huko kwao wanampiga nyundo kishenzi.
North koreaDunia imepona Kila kitu
============
"Kama SADC itashindwa kulaani uchaguzi bandia wa Tanzania na ukatili mkubwa uliofanyika, basi wanahusika na ni lawama yao pia,” anasema Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama. “SAMIA SULUHU si rais wa Tanzania. Hana uhalali wowote.”
Mseveni huyu huyu aliepata kura 51% kwenye uchaguz uliopita huyuhuyu ambae 43% ya majimbo yalienda upinzani,,, afu linganisha na CCMHizi mambo bana, hawamtambui Samia ila wanamtambua Mseven wa Uganda na Kagame wa Rwanda pamoja na wengine wengi wanaosigina katiba zao
Kwa Afrika hii hakuna wa kumtambua mwenzake wote ni walewale tu
Kwahiyo Uganda wana tume huru? Kama ni kweli basi waganda wanampenda Sana mseveni maana na uzee wote ule ila yeye ndio ana uwezo pekeake wa kuliongoza taifa na sasa anamuandaa mwanaeMseveni huyu huyu aliepata kura 51% kwenye uchaguz uliopita huyuhuyu ambae 43% ya majimbo yalienda upinzani,,, afu linganisha na CCM