TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Huu msemo siyo wa kwa bibi/babu zangu Tanga..?Mkuu kuna msemo usemao zilongwa mbali zitendwa mbali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu msemo siyo wa kwa bibi/babu zangu Tanga..?Mkuu kuna msemo usemao zilongwa mbali zitendwa mbali...
Hujakosea mkuuHuu msemo siyo wa kwa bibi/babu zangu Tanga..?
Ukija kusalimia usisahau na sisi Wajomba zako...Hujakosea mkuu
Kolorama = MakorolaHujakosea mkuu
Hahahaha upo updated kama jina lakoKolorama = Makorola
Ukija kusalimia usisahau na sisi Wajomba zako...
[emoji122] Asante you focused!Hahahaha upo updated kama jina lako
Unakenua nn
Picha zilipigwa miaka 54 ilopita huko USA White House.
CREDIT:US Embassy Tz.
Mwaka gani huo braza...
Nasikia anaogopa kupanda ndege..Huyu wa sasa hatembei kokote
Pamoja sikuona broUnakenua nn
July 15 1963....wahenga tupo.Mwaka gani huo braza...