CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Amesema miaka 54 iliyopita,Mwaka gani huo braza...
piga hesabu 2017-54=? jibu utalipata ni mwaka gani huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema miaka 54 iliyopita,Mwaka gani huo braza...
Hahahhaha nasikia akipanda ndege huwa anachoma sindano ya usingizi.Nasikia anaogopa kupanda ndege..
Wanajitahidi sana kumsafisha mwalimu
Wanajitahidi sana kumsafisha mwalimu
Umeona eeh! Kuna mtu aweza kutupatia Technical reasons katika hili?????Hiyo picha ya mwaka 1963 ina kiwango kikubwa kuliko hizi HD za sasa hivi 2017.
Post sent using JamiiForums mobile app