kiLimIlire
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 519
- 1,330
No Reforms No Election
Umetisha mkuuNo Reforms No Election
Psg hachomoi mkuuNgoja fainali iishe kwanza 😔
Kwan Zuma tu vipi yule wa Cameroon ana miaka 92 hajui Atachia madaraka linZhuma katika umri huohuo bado anakula bata😩View attachment 3405023
Nimelia sana kumbe wanawake hatujaumbiwa mpiraPsg hachomoi mkuu
President ya muyayaKwan Zuma tu vipi yule wa Cameroon ana miaka 92 hajui Atachia madaraka lin
Kama mpaka Rais anakufa why all this jamani... tupendaneRais wa Nigeria Bola Tinubu ametangaza kifo cha Rais wa zamani Muhammadu Buhari, ambaye amefariki Jumapili mjini London baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Licha ya tangazo hilo familia ya Mohamed nayo imethibitisha kifo hicho cha Raisi huyo
Baada ya taarifa hiyo Makamu wa Rais Kassim Shettima ameelekezwa kusafiri hadi Uingereza kwa ajili ya kuunda kwa ajili ya Hatua za mazishi huko Nigeria
Buhari, ambaye amewahi kuwa rais wa kiraia wa Nigeria kutoka 2015 hadi 2023 na hapo awali kama mtawala wa kijeshi kutoka 1983 hadi 1985,
Anatambuliwa sana kwa msimamo wake mkali wa kupinga ufisadi na juhudi zake za kurekebisha uchumi wa taifa wakati wa uongozi wake.
Katika hatua nyingine Anajulikana pia kwa sera zake zenye utata lakini zenye athari juu ya usalama wa taifa, mseto wa kiuchumi, na mapambano dhidi ya uasi, ambayo ilifafanua sehemu kubwa ya utawala wake.
Alishazeeka, kama ukipanda mahindi yanafika mwisho yananyauka sasa unashtuka nini?Tanzia imenishtua......
Apumzike kwa amani
Vipi kuhusu JonathanInna lillahi wainna ilayhi rajiuun
Mm mpk leo ukinambia nikutajie raisi wa nigeria nakutajia huyu
Kwamba pia wa mjini Dar aache Muhimbili, aende Makandana kupata tiba?Africa sijui kuna shida gani!!!
Kiongozi yupi wa Ulaya hufia Hospitali za Africa?
Ulichojibu kiko nje ya context.Kwamba pia wa mjini Dar aache Muhimbili, aende Makandana kupata tiba?
Dah simjuiVipi kuhusu Jonathan
Ulichojibu kiko nje ya context.
Hoja yangu ni kwa nini viongozi wa Africa wasiboreshe huduma za Afya kwenye nchi zao wakatibiwa katika nchi zao? Kwa nini wafie katika mataifa mengine? Kiongozi yupi wa Ulaya au America amewahi kufa akiwa anatibiwa Africa?
Ni sawa. Ni haki ya mgonjwa kutibiwa popote atakapo lakini si haki mwanasiasa kushindwa kuboresha huduma za afya kwenye nchi yake halafu akiugua anaenda kutibiwa Ulaya. Kwa mwananchi wa kawaida tibiwa popote unapotaka kulingana na uwezo wako lakini kwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kufia katika mataifa ya wengine ni AIBUKwa hiyo mtu kama Trump aje Muhimbili au?
Kama mtu ana uwezo pia ana haki ya kutibiwa popote atakapo
Hapo kwenye ccm umewasingizia. Hawana lolote la kujifunza. "kifo ni kifo tu"Inasikitsha sana ,Dunia Mapito ,urais ,vyeo vinapita ,sisiemu wana la kujifunza hapa.