TANZIA Rais wa zamani wa Nigeria, Muhammadu Buhari, afariki dunia

Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun

Mm mpk leo ukinambia nikutajie raisi wa nigeria nakutajia huyu
 
Kama mpaka Rais anakufa why all this jamani... tupendane
 
Muda ukifika, hata waende tibiwa mwezini!
Chura kiziwi na wenzake wajuwe hili, duniani tunapita tu, raia wanadai haki, elimu, miundombinu, huduma za afya, uwajibikaji na uhuru wa kujieleza bila kuvunja shuruti kisheria.
 
Kwamba pia wa mjini Dar aache Muhimbili, aende Makandana kupata tiba?
Ulichojibu kiko nje ya context.
Hoja yangu ni kwa nini viongozi wa Africa wasiboreshe huduma za Afya kwenye nchi zao wakatibiwa katika nchi zao? Kwa nini wafie katika mataifa mengine? Kiongozi yupi wa Ulaya au America amewahi kufa akiwa anatibiwa Africa?
 

Kwa hiyo mtu kama Trump aje Muhimbili au?

Kama mtu ana uwezo pia ana haki ya kutibiwa popote atakapo
 
Kwa hiyo mtu kama Trump aje Muhimbili au?

Kama mtu ana uwezo pia ana haki ya kutibiwa popote atakapo
Ni sawa. Ni haki ya mgonjwa kutibiwa popote atakapo lakini si haki mwanasiasa kushindwa kuboresha huduma za afya kwenye nchi yake halafu akiugua anaenda kutibiwa Ulaya. Kwa mwananchi wa kawaida tibiwa popote unapotaka kulingana na uwezo wako lakini kwa kiongozi mkubwa wa kisiasa kufia katika mataifa ya wengine ni AIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…