watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
R.I.P. Edgar Lungu, lakini historia haitasahau alivyomfungulia kesi ya uhaini na kumtupa jela mpinzani wake mkuu wa wakati huo, Hakainde Hichilema, ambaye leo hii ndiye Rais halali wa Zambia.
Alikuwa na mbwembwe sana za kushonewa suti na mtu maalum, haya akamsonee sanda sasa
Shuti kabambe.Mkuu Medecin Salam kwako.
Samahani kusema ulivyoandika haivutii sana. Nadhani ungesema tu kwamba alikuwa anashonewa shuti na watu maalum akiwamo Mtanzania (Aliye design Jez za Yanga) aliyemshonea Shuti aliyovaa siku anaapishwa. Ni mtizamo tu.
Ahsante
Anayecheza kwenye sofa ni yeye?
sura ya kifo ilikuwaHii hapa;-
View attachment 3356867
NdiyoAnayecheza kwenye sofa ni yeye?
Mh,bado sana aisee
Labda analipiza kile alicho mfanyia Kipindi akiwa madarakaniSerikali ya Rais Hichilema haiwezi kukwepa lawama baada ya huu msiba. Hayati aliomba ruhusa tangu 2023 kutibiwa Afrika kusini ila mamlaka zikamkakatalia bila sababu (pichani ni hiyo barua aliyojibiwa). Mwaka huu kwa mbinde ndo akaenda Afrika kusini kwa matibabu ila ikagharimu kibarua cha mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege... alitumbuliwa kwa kumruhusu Lungu kupita Airport na kwenda South Afrika. Huyu Hichilema ndo role model wa wapinzani hapa Tanzania hasa CHADEMA na ACT.
Ni kweli unachosema ila kwa style hii ndo maana hakuna haja hata ya kuitoa CCM madarakani. Watakaoingia madarakani watatumia muda mwingi kuadhibu watangulizi wao kama anavyofanya HH huko Zambia. Maendeleo yanakuwa hakunaLabda analipiza kile alicho mfanyia Kipindi akiwa madarakani
Unaogopa watapewa adhabu? Ndiyo uwashauri wawatendee wenzao ambavyo wasingependa kutendewa.Na vilevile waache wizi,ufisadi,majivuno,uuaji, utekaji, ufiraji,ubakaji na kila aina ya matumizi mabaya ya madaraka.Ni kweli unachosema ila kwa style hii ndo maana hakuna haja hata ya kuitoa CCM madarakani. Watakaoingia madarakani watatumia muda mwingi kuadhibu watangulizi wao kama anavyofanya HH huko Zambia. Maendeleo yanakuwa hakuna
Alikuwa anaogopa kupanda ndege. Magufuli alikuwa na fitted na defibrillator kifuaniIfike hatua viongozi wa Kiafrica waone aibu kufia nje ya nchi zao kwasababu ya kwenda kufata matibabu! Why are they not investing in their countries? Wataalamu? Vifaa? Vyote hivyo vinatengenezwa, ni uamuzi tu. Hongera sana John Pombe Joseph Magufuli, bado unaendelea kua icon ya viongozi wengi wa bara hili. Uliwaamini madaktari wa ndani, bahati tu haikua upande wetu