cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Huyo ashafungua dirisha dogo la usajili, sasa israel mkata vigogo anakuwa anapitia vilabu tofauti kulingana na mahitaji ya wakati husika.
😂😂😂😂Huyo ashafungua dirisha dogo la usajili, sasa israel mkata vigogo anakuwa anapitia vilabu tofauti kulingana na mahitaji ya wakati husika.
Kwa maneno mengine unaona ni sahihi viongozi wa nchi kutibiwa na kufia nje ya nchi? Swali ambalo viongozi wetu wanatakiwa kujiuliza ni hili, wenzenu huko mnakokwenda, walifanyaje hadi wakaweza na sisi tunashindwa nini?Alikuwa anaogopa kupanda ndege. Magufuli alikuwa na fitted na defibrillator
We pumbavu ni vile hujawagi kuvaa suti, mtu lazima uwe na tailor wako, kinyozi wako sasa ukisema kinyozi wangu maalumu mbumbumbumbu u apata shidaAlikuwa na mbwembwe sana za kushonewa suti na mtu maalum, haya akamshonee sanda sasa
Ndiyo maana CDM inakuja na reform ikimanisha kila mtu awe na haki katka Nchi.Ni kweli unachosema ila kwa style hii ndo maana hakuna haja hata ya kuitoa CCM madarakani. Watakaoingia madarakani watatumia muda mwingi kuadhibu watangulizi wao kama anavyofanya HH huko Zambia. Maendeleo yanakuwa hakuna
Miaka 68 ya kuishi kwa raha na mbwebwe sio haba mkuu huenda hata sanda yake pia itashonwa na mtu maalum na wewe subiri sanda yakoAlikuwa na mbwembwe sana za kushonewa suti na mtu maalum, haya akamshonee sanda sasa
Bora yeye alimfungulia kesi kuliko huyo mpinzani wake aliyeamua kumuua kabisa alipopata madarakaR.I.P. Edgar Lungu, lakini historia haitasahau alivyomfungulia kesi ya uhaini na kumtupa jela mpinzani wake mkuu wa wakati huo, Hakainde Hichilema, ambaye leo hii ndiye Rais halali wa Zambia.
Mchimba kisima huingia mwenyewe, tahadhari baba!Unakaribiana karibiana na Lungu wa kike.
Israel baba, pitia na huku.
Kwa lipi hasa mama?Mchimba kisima huingia mwenyewe, tahadhari baba!
Wewe unayemuombea Israel apitie kwa huku kwa lengo lako maalumu, basi unaweza kutakabaliwa dua yako akakugeukia wewe.Kwa lipi hasa mama?
Wewe utaishi milele??Wewe unayemuombea Israel apitie kwa huku kwa lengo lako maalumu, basi unaweza kutakabaliwa dua yako akakugeukia wewe.
hakuna mahaba niue wala nini, kwa nini basi unaombea wenzako kufa wakati unajua kuwa sote tutakufa kwa wakati wetu ulioainishwa?Wewe utaishi milele??
Sina hofu ya kutwalia na Israel vivo hivyo huyo unaehisi nimemuombea mauti hapaswi kuyahofia maana ni swala la muda tu ataondoka tu.
Halafu punguza mahaba niue kiasi cha kujitwika utetezi kwa hata asiehitaji utetezi.
Wewe hebu katafute la kufanya basi maana ushaanza kuwa kero sasa.hakuna mahaba niue wala nini, kwa nini basi unaombea wenzako kufa wakati unajua kuwa sote tutakufa kwa wakati wetu ulioainishwa?
mbona umepanic kijana? endelea tu ......Wewe hebu katafute la kufanya basi maana ushaanza kuwa kero sasa.
Itakuwa una upwiru wewe, sio bure.mbona umepanic kijana? endelea tu ......
Mapema mkuu huku sisi hiyo age tunaitafuta kwa torch?ameenda mapema, rip …
Mapema mkuu huku sisi hiyo age tunaitafuta kwa torch?
hizo terminologies zenu za GenZ munazielewa wenyewe, fanya kazi kijana wacha kuwaza mambo ya kijinga jinga..Itakuwa una upwiru wewe, sio bure.