Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

Na jinsi walivyo Wazambia Lungu akigombea anaweza kurudi tena kwenye nafasi yake ndio maana huyu Rais amekua akiifatilia kwa karibu sana hiyo kesi..
 
Mbona Huwa mnasema Wapinzani wataleta Neema ccm imeshindwa nk nk Sasa nini kimetokea huko Zambia ?
 
Wazambia wapo wachache ila waliosoma wanewazidi sana ninyi angalia hata vitu wabavyotumia wao na ninyi utajua mpo sawa au mfumo wa kodi kwa raia wa Zambia na Watanzania na pia Zambia Chama chochote kinawekwa madarakani hii sio mara ya kwanza..
 
Hueleweki Mzee,huko Zambia maisha ni magumu sana wanapumulia mashine chini ya huyu failed president aliyekuwa Mpinzani na mfanyabiashara tajiri.

Wako wachache then wanashindwa kutumia copper kujineemesha,Kuna Nchi hapo?
 
Mkuu hakuna kitu unajua kuhusu Zambia na hapo upo Mbeya ungekua Tanga sijui ungekuaje nadhani tuishie hapa..
 
Jidanganye hii ni Nchi ya Vyama vya siasa.Kila siku kwenye majukwaa Yao huko wanachojadili ni sheria za kuwawezesha wao Wanasiasa kushika Dola Ili waneemeke wao na familia zao ,wewe unaejiita mwananchi utaishia kuwa ngazi na kutumika.

Sasa sioni haja ya kubadilisha Vyama ikiwa qatakokika watafanya Yale Yale even worse kama ilivyotokea Nchi nyingine.

Kenya hapo Gen Z wameuwawa na kuvunjwa miguu mwisho wa siku Wanasiasa wakachaguana na wamerejesha sheria zile zile.
 
Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia wanasiasa.

Ila sisi ambao tuna akili ya asili tumeshauelewa unafiki wako na ndio maana umesema CCM wasilogwe wawaachie wapinzani dola.

Kama kweli unawachukia wanasiasa je ma CCM si wanasiasa?

Nafikiri wazazi wako kama walishatangulia mbele ya haki walijuta kuwa na mwana mnafiki kama wewe na kama wapo hai mpaka sasa wako kwenye majuto kwa ajili yako.
 
Bora shetani unaemjua kuliko Malaika usiyemjua.

Uzoefu tayari gumeupata kwenye Nchi zingine,nini tena unataka upate? Ufanyiwe majaribio ?
 
Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia
Huko Sasa watajuana Wanasiasa na wale nyumbu wanaoburuzwa na Wanasiasa,Mimi kwangu either of the side ni sawa tuu Kwa sababu I don't sympathize na Wanasiasa.
Sasa mbona umesema ma CCM yasiwaachie madaraka wapinzani na hapo hapo unasema huwapendi wanasiasa, tukueleweje?
 
Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia

Sasa mbona umesema ma CCM yasiwaachie madaraka wapinzani na hapo hapo unasema huwapendi wanasiasa, tukueleweje?
Kwa sababu wakiwaachia watakuja kuteswa na watajuta tofauti na Yale wanayotamka ,sio tuu huyo wa Zambia hata Ruto alimshughulikia Uhuru but alikuwa anasema yeye hawezi fanya hayo.
 
Bora shetani unaemjua kuliko Malaika usiyemjua.

Uzoefu tayari gumeupata kwenye Nchi zingine,nini tena unataka upate? Ufanyiwe majaribio ?
Taja huo uzoefu wa nchi nyingine lakini pia na mimi nitakupa mifano ya nchi ambazo baada ya vyama twawala kung'olewa madarakani mabadiliko makubwa ya kila nyanja yalitokea
 
Acha upuuzi,soma mada nimeeleza Nchi zote ambazo Waliokuwa Wapinzani baada ya kushika Dola wamefanya kinyume na walichokuwa wanahubiri.
 
Kwa sababu wakiwaachia watakuja kuteswa na watajuta tofauti na Yale wanayotamka ,sio tuu huyo wa Zambia hata Ruto alimshughulikia Uhuru but alikuwa anasema yeye hawezi fanya hayo.
Wewe baki na mifano ya watu waliofeli ila mabadiliko ni muhimu.

Nakumbuka zamani tulikuwa tunalima kienyeji na wazazi wetu walikuwa waoga kufanya mabadiliko kwenda kwenye kilimo cha kisasa ila tulipoukataa uoga tulifanya mabadiliko na mageuzi na mpaka leo tumetoka kwenye kilimo chakula mpaka kwenye kilimo biashara

Mabadiliko ni muhimu na hakuna maendeleo ya kweli pasipo mabadiliko ya kweli
 
Leta mifano ya waliokuwa Wapinzani wakafaulu.
 
Mifano ipo ya kutosha tu mfano kuna Senegal, Ghana na hata huko Kenya mabadiliko ya kiutawala na kisiasa yameleta mabadiliko makubwa tu ni vile kwa sasa sina muda wa kumwelewesha mtu mwenye fikra mgando kama wewe
 
Yameleta nini Cha maana Kwa watu? Taja mfano wa Nchi Moja baada ya nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…