Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na jinsi walivyo Wazambia Lungu akigombea anaweza kurudi tena kwenye nafasi yake ndio maana huyu Rais amekua akiifatilia kwa karibu sana hiyo kesi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema wanajua, Demokrasia kw la tafsiri Yao ni Wapinzani kushinda na hivyo bwana HH anatakiwa kumuacha Lungu ashinde 😆😆Nini mana ya Democracy
Mbona Huwa mnasema Wapinzani wataleta Neema ccm imeshindwa nk nk Sasa nini kimetokea huko Zambia ?Na jinsi walivyo Wazambia Lungu akigombea anaweza kurudi tena kwenye nafasi yake ndio maana huyu Rais amekua akiifatilia kwa karibu sana hiyo kesi..
Wazambia wapo wachache ila waliosoma wanewazidi sana ninyi angalia hata vitu wabavyotumia wao na ninyi utajua mpo sawa au mfumo wa kodi kwa raia wa Zambia na Watanzania na pia Zambia Chama chochote kinawekwa madarakani hii sio mara ya kwanza..Mbona Huwa mnasema Wapinzani wataleta Neema ccm imeshindwa nk nk Sasa nini kimetokea huko Zambia ?
Hueleweki Mzee,huko Zambia maisha ni magumu sana wanapumulia mashine chini ya huyu failed president aliyekuwa Mpinzani na mfanyabiashara tajiri.Wazambia wapo wachache ila waliosoma wanewazidi sana ninyi angalia hata vitu wabavyotumia wao na ninyi utajua mpo sawa au mfumo wa kodi kwa raia wa Zambia na Watanzania na pia Zambia Chama chochote kinawekwa madarakani hii sio mara ya kwanza..
Mkuu hakuna kitu unajua kuhusu Zambia na hapo upo Mbeya ungekua Tanga sijui ungekuaje nadhani tuishie hapa..Hueleweki Mzee,huko Zambia maisha ni magumu sana wanapumulia mashine chini ya huyu failed president aliyekuwa Mpinzani na mfanyabiashara tajiri.
Wako wachache then wanashindwa kutumia copper kujineemesha,Kuna Nchi hapo?
Jidanganye hii ni Nchi ya Vyama vya siasa.Kila siku kwenye majukwaa Yao huko wanachojadili ni sheria za kuwawezesha wao Wanasiasa kushika Dola Ili waneemeke wao na familia zao ,wewe unaejiita mwananchi utaishia kuwa ngazi na kutumika.Nchi hii sio ya CCM wala CHADEMA, wala CUF.Nchi hii ni ya watanzania wote. It means watu walioko CCM na wengine CHADEMA wanaweza wakatengeneza hata chama kipya kikaitwa lets say UPENDO..kikaja na sera mbadala, zinazoendana na nyakati hizi na changamoto zilizopo..tukakichagua. Tukiona kinashindwa tunakitoa..tunaweka kingine...suala sio CCM au CHADEMA - suala ni maendeleo yetu na uchaguzi wa huru na haki. Kwani KANU, ANC ziko wapi, zipo?, zina nguvu kama zamani? Je Kenya hawaishi, South Africa hawaishi??Au tunawazidi nini cha ziada. Tuweke utaratibu wa anybody mwenye kipaji cha kutuongoza, vision, akili atuongoze..CCM sio katiba ya nchi hii..watu wengine pia wanaweza ongoza vizuri tu.
Bora shetani unaemjua kuliko Malaika usiyemjua.Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia wanasiasa.
Ila sisi ambao tuna akili ya asili tumeshauelewa unafiki wako na ndio maana umesema CCM wasilogwe wawaachie wapinzani dola.
Kama kweli unawachukia wanasiasa je ma CCM si wanasiasa?
Nafikiri wazazi wako kama walishatangulia mbele ya haki walijuta kuwa na mwana mnafiki kama wewe na kama wapo hai mpaka sasa wako kwenye majuto kwa ajili yako.
Sasa mbona umesema ma CCM yasiwaachie madaraka wapinzani na hapo hapo unasema huwapendi wanasiasa, tukueleweje?Huko Sasa watajuana Wanasiasa na wale nyumbu wanaoburuzwa na Wanasiasa,Mimi kwangu either of the side ni sawa tuu Kwa sababu I don't sympathize na Wanasiasa.
Kwa sababu wakiwaachia watakuja kuteswa na watajuta tofauti na Yale wanayotamka ,sio tuu huyo wa Zambia hata Ruto alimshughulikia Uhuru but alikuwa anasema yeye hawezi fanya hayo.Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia
Sasa mbona umesema ma CCM yasiwaachie madaraka wapinzani na hapo hapo unasema huwapendi wanasiasa, tukueleweje?
Taja huo uzoefu wa nchi nyingine lakini pia na mimi nitakupa mifano ya nchi ambazo baada ya vyama twawala kung'olewa madarakani mabadiliko makubwa ya kila nyanja yalitokeaBora shetani unaemjua kuliko Malaika usiyemjua.
Uzoefu tayari gumeupata kwenye Nchi zingine,nini tena unataka upate? Ufanyiwe majaribio ?
Acha upuuzi,soma mada nimeeleza Nchi zote ambazo Waliokuwa Wapinzani baada ya kushika Dola wamefanya kinyume na walichokuwa wanahubiri.Taja huo uzoefu wa nchi nyingine lakini pia na mimi nitakupa mifano ya nchi ambazo baada ya vyama twawala kung'olewa madarakani mabadiliko makubwa ya kila nyanja yalitokea
Wewe baki na mifano ya watu waliofeli ila mabadiliko ni muhimu.Kwa sababu wakiwaachia watakuja kuteswa na watajuta tofauti na Yale wanayotamka ,sio tuu huyo wa Zambia hata Ruto alimshughulikia Uhuru but alikuwa anasema yeye hawezi fanya hayo.
Leta mifano ya waliokuwa Wapinzani wakafaulu.Wewe baki na mifano ya watu waliofeli ila mabadiliko ni muhimu.
Nakumbuka zamani tulikuwa tunalima kienyeji na wazazi wetu walikuwa waoga kufanya mabadiliko kwenda kwenye kilimo cha kisasa ila tulipoukataa uoga tulifanya mabadiliko na mageuzi na mpaka leo tumetoka kwenye kilimo chakula mpaka kwenye kilimo biashara
Mabadiliko ni muhimu na hakuna maendeleo ya kweli pasipo mabadiliko ya kweli
Mifano ipo ya kutosha tu mfano kuna Senegal, Ghana na hata huko Kenya mabadiliko ya kiutawala na kisiasa yameleta mabadiliko makubwa tu ni vile kwa sasa sina muda wa kumwelewesha mtu mwenye fikra mgando kama weweLeta mifano ya waliokuwa Wapinzani wakafaulu.
Yameleta nini Cha maana Kwa watu? Taja mfano wa Nchi Moja baada ya nyingineMifano ipo ya kutosha tu mfano kuna Senegal, Ghana na hata huko Kenya mabadiliko ya kiutawala na kisiasa yameleta mabadiliko makubwa tu ni vile kwa sasa sina muda wa kumwelewesha mtu mwenye fikra mgando kama wewe