Nenda Zambia
Msafara wa Huchilema gari tano msafara wa Shujaa wa Afrika gari 48π€£π€£π€£π€£π€£Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
View attachment 1976912
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini ππ.
Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?
Hofu zenu hasa ni zipi basi?
Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.
View attachment 1977733
Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.
Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Tutahama hama mpaka lini? sasa hivi tuko BurundiNenda Zambia
Msafara wa Huchilema gari tano msafara wa Shujaa wa Afrika gari 48π€£π€£π€£π€£π€£
Hahhaa wazalendo haoJuu kuna + chopper kadhaa si moja ππ.
No wonder Nyerere asingewavumilia:
Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko
Hahhaa wazalendo hao
Hata ukiwa Rais wa watu unaweza kuwa na maadui wanaotoka nje ya nchi. Ulinzi wa Rais ni kitu muhimu sana.
Unajua hata papa wa kanisa katoliki aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya gari yake? Kwani papa si mtu wa watu?Extents zinaongelewa huzioni kabisa? Utakuwa na kipaji mkuu si bure ππ:
View attachment 1977843
Huyo inawezekana alikuwa kiunga chake tu, kwani assasination hufanywa na mtu mmoja tu.Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
View attachment 1976912
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini ππ.
Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?
Hofu zenu hasa ni zipi basi?
Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.
View attachment 1977733
Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.
Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Unajua hata papa wa kanisa katoliki aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya gari yake? Kwani papa si mtu wa watu?
Huyo inawezekana alikuwa kiunga chake tu, kwani assasination hufanywa na mtu mmoja tu.
Kwani unadhani kuwa Rais Kennedy alikuwa hapendwi na watu wake? au naye "aliiba kura" Au Waziri mkuu wa israel Yitzhak Rabin naye alikuwa hapendwi na watu au naye "aliiba kura?"
Sample size yako ndogo ndiyo maana umefikia conclusion uliyofikia. Jaribu kuongeza sample size. Angalia kilichotokea Vatican, utaona hata kama kiongozi ni kipenzi cha watu wa ndani na nje ya nchi anaweza kutokea kichaa akamletea matatizo. Ndiyo maana huwezi kupuuza ulinzi wa Rais.Umeuelewa msingi wa hoja lakini?
Angalia nchi hizi:
A: Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe.
B: Kenya, Malawi, Zambia, South Africa
A - misafara ya marais wao kama sisi inafanana, watu kupotezwa mysteriously ndiyo kwao, demokrasia zinaminywa, beberu hana hamu nao. Serikali na upinzani ni maadui wa kuuwana.
B - misafara ya marais wao inafanana na huo wa Zambia, hawa ni washirika chanda na kidole wa beberu, upinzani na serikali ni ndugu. Wananchi wao wanafurahia nchini mwao.
Huo ndiyo ulio msingi wa hoja.
Hatuna cha kujifunza?
View attachment 1977903
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
View attachment 1976912
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini ππ.
Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?
Hofu zenu hasa ni zipi basi?
Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.
View attachment 1977733
Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.
Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Sample size yako ndogo ndiyo maana umefikia conclusion uliyofikia. Jaribu kuongeza sample size. Angalia kilichotokea Vatican, utaona hata kama kiongozi ni kipenzi cha watu wa ndani na nje ya nchi anaweza kutokea kichaa akamletea matatizo. Ndiyo maana huwezi kupuuza ulinzi wa Rais.
Mkuu kuna tofauti kubwa ya nchi kuwa na Rais mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake na raia wenzake na kuwa na dikteta ambaye hana mapenzi na nchi yake wala raia wenzake.
Pumba tupu; ulinzi wa rais wa nchi siyo jambo la kisiasa. Hata kama rais anapendwa na watu asilimia 95, anaweza kuuwawa na mtu mmoja kati ya ile ailimia 5 wasiompenda.Mada ni zaidi ya ulipoishia mkuu. Kuna ku compare na ku contrast:
1. Zambia, Kenya, Malawi, Afrika Kusini, nk, kwa upande mmoja.
2. Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, nk, kwa upande mwingine.
Pana clips mbili zinazowasilisha.
Hatuna ya kujifunza kutokea hata kwenye costs, approval ratings, justice, democracy nk.
Au u vichwa panzi tu mkuu?
Haya beki 2 hapo juu yanakuhusu sana:
View attachment 1977910
Pumba tupu; ulinzi wa rais wa nchi siyo jambo la kisiasa. Hata kama rais anapendwa na watu asilimia 95, anaweza kuuwawa na mtu mmoja kati ya ile ailimia 5 wasiompenda.