Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

View attachment 1976912

Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

View attachment 1977733

Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Msafara wa Huchilema gari tano msafara wa Shujaa wa Afrika gari 48🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe jamaa tafuta mwanasaikolojia akusaidie. Unapitia hali tete sana kiakili.
 
Hata ukiwa Rais wa watu unaweza kuwa na maadui wanaotoka nje ya nchi. Ulinzi wa Rais ni kitu muhimu sana.

Extents zinaongelewa huzioni kabisa? Utakuwa na kipaji mkuu si bure 😁😁:

Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

View attachment 1976912

Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

View attachment 1977733

Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
Huyo inawezekana alikuwa kiunga chake tu, kwani assasination hufanywa na mtu mmoja tu.

Kwani unadhani kuwa Rais Kennedy alikuwa hapendwi na watu wake? au naye "aliiba kura" Au Waziri mkuu wa israel Yitzhak Rabin naye alikuwa hapendwi na watu au naye "aliiba kura?"
 
Unajua hata papa wa kanisa katoliki aliwahi kupigwa risasi akiwa ndani ya gari yake? Kwani papa si mtu wa watu?

Umeuelewa msingi wa hoja lakini?

Angalia nchi hizi:

A: Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe.

B: Kenya, Malawi, Zambia, South Africa

A - misafara ya marais wao kama sisi inafanana, watu kupotezwa mysteriously ndiyo kwao, demokrasia zinaminywa, beberu hana hamu nao. Serikali na upinzani ni maadui wa kuuwana.

B - misafara ya marais wao inafanana na huo wa Zambia, hawa ni washirika chanda na kidole wa beberu, upinzani na serikali ni ndugu. Wananchi wao wanafurahia nchini mwao.

Huo ndiyo ulio msingi wa hoja.

Hatuna cha kujifunza?

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Huyo inawezekana alikuwa kiunga chake tu, kwani assasination hufanywa na mtu mmoja tu.

Kwani unadhani kuwa Rais Kennedy alikuwa hapendwi na watu wake? au naye "aliiba kura" Au Waziri mkuu wa israel Yitzhak Rabin naye alikuwa hapendwi na watu au naye "aliiba kura?"

Mada ni zaidi ya ulipoishia mkuu. Kuna ku compare na ku contrast:

1. Zambia, Kenya, Malawi, Afrika Kusini, nk, kwa upande mmoja.

2. Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, nk, kwa upande mwingine.

Pana clips mbili zinazowasilisha.

Hatuna ya kujifunza kutokea hata kwenye costs, approval ratings, justice, democracy nk.

Au u vichwa panzi tu mkuu?

Haya ya beki #2 hapo juu yanakuhusu sana:

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umeuelewa msingi wa hoja lakini?

Angalia nchi hizi:

A: Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe.

B: Kenya, Malawi, Zambia, South Africa

A - misafara ya marais wao kama sisi inafanana, watu kupotezwa mysteriously ndiyo kwao, demokrasia zinaminywa, beberu hana hamu nao. Serikali na upinzani ni maadui wa kuuwana.

B - misafara ya marais wao inafanana na huo wa Zambia, hawa ni washirika chanda na kidole wa beberu, upinzani na serikali ni ndugu. Wananchi wao wanafurahia nchini mwao.

Huo ndiyo ulio msingi wa hoja.

Hatuna cha kujifunza?

View attachment 1977903
Sample size yako ndogo ndiyo maana umefikia conclusion uliyofikia. Jaribu kuongeza sample size. Angalia kilichotokea Vatican, utaona hata kama kiongozi ni kipenzi cha watu wa ndani na nje ya nchi anaweza kutokea kichaa akamletea matatizo. Ndiyo maana huwezi kupuuza ulinzi wa Rais.
 
Mkuu kuna tofauti kubwa ya nchi kuwa na Rais mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake na raia wenzake na kuwa na dikteta ambaye hana mapenzi na nchi yake wala raia wenzake.

Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

View attachment 1976912

Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

View attachment 1977733

Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
 
Sample size yako ndogo ndiyo maana umefikia conclusion uliyofikia. Jaribu kuongeza sample size. Angalia kilichotokea Vatican, utaona hata kama kiongozi ni kipenzi cha watu wa ndani na nje ya nchi anaweza kutokea kichaa akamletea matatizo. Ndiyo maana huwezi kupuuza ulinzi wa Rais.

Kabila Snr, aliuwawa na ulinzi wake yule wa mwisho anayeambatana naye kokote akiwa na silaha.

Kwa maana yako, kumbe kama ni hivyo basi msululu wote na chopper zote 2 juu ni ubatili mtupu?

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Mkuu kuna tofauti kubwa ya nchi kuwa na Rais mwenye mapenzi ya kweli na nchi yake na raia wenzake na kuwa na dikteta ambaye hana mapenzi na nchi yake wala raia wenzake.

Kwetu walikwisha stage hadi kula mahindi ya kuchoma kutoka kwa wachoma mahindi wasiojulikana katika vijiwe husika 😁😁.

Kwani hata hawajui kuwa hawapendeki? Sababu kuu ni wizi na dhuluma.

Wapendwe vipi wakati hawana mapenzi na nchi? Wangekuwa na mapenzi na nchi kwanini iwe taabu kwao kuridhia ushindani ulio wa haki kwa wote ili yeyote mwenye kufaa zaidi akawe wa msaada zaidi kwa nchi?

Vipi candidate mmoja atulazimishe kuwa bora ni yeye tu hakuna mwingine?

Hiiiiii bagosha!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mada ni zaidi ya ulipoishia mkuu. Kuna ku compare na ku contrast:

1. Zambia, Kenya, Malawi, Afrika Kusini, nk, kwa upande mmoja.

2. Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, nk, kwa upande mwingine.

Pana clips mbili zinazowasilisha.

Hatuna ya kujifunza kutokea hata kwenye costs, approval ratings, justice, democracy nk.

Au u vichwa panzi tu mkuu?

Haya beki 2 hapo juu yanakuhusu sana:

View attachment 1977910
Pumba tupu; ulinzi wa rais wa nchi siyo jambo la kisiasa. Hata kama rais anapendwa na watu asilimia 95, anaweza kuuwawa na mtu mmoja kati ya ile ailimia 5 wasiompenda.
 
Kabila aliuawa na mlinzi wake yule wa mwisho anayebakia nje labda aingiapo chooni tu.

Kwa punje zipi ulizonazo kuwa nazo kwamba: msafara zaidi ya magari zaidi ya 100, chopper 2 na maelfu ya security personnel kwenye entourage yetu kuwa sasa hiyo ndiyo fool proof ila Hichilema?

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Apumzike kwa amani Mwalimu Nyerere bakora za mat*ko zilikuwa stahiki zenu.
 
Back
Top Bottom