Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza:

Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli.

"Kwetu ni self service."

Nani anasema tatizo letu si katiba?

Si kuwa tuna watu madarakani ambao hawakupaswa?

========

The Zambian Ministry of Finance has disclosed that Zambia’s President Hakainde Hichilema popularly known as Bally has gone 8 months without a government salary from the time Zambians voted for him as Head of State on the 12th August 2021.

When asked why? Ministry of Finance sources said that each time efforts to pay the President are made, the president responds by saying, “Let’s focus on working for the people of Zambia. It is service to the people and not self-service”.

And President Hakainde Hichilema has maintained his position that he does not want to be given thousands of titles such as His Excellency but that he would rather be addressed as Mr. President.

Asked why? Sources stated that such titles breed dictators and worshipping of people and that it is not titles that deliver work but oneself adding clamour for titles may be taken for an inferiority complex.
 
Donald Trump hakuchukua mshahara kwA miaka minne yote
Nyerere alipunguza mshahara wake:

"In October 1966, around 400 university students marched to State House to protest this. Nyerere spoke to the crowd in defence of the measure, and agreed to reduce government salaries, including his own."
 
Hivyo vitu kwa Tanzania haviwezekani si kwa wanasiasa wa upinzani wala chama tawala, wabunge watatofautiana kote ila mwenye maslahi yao wapo pamoja haijalishi ni wa chama gani.
 
Kwetu pamoja na machawa na wapambe kuwaingizia matrilioni uliwasikia wameondoa japo tozo kwetu achilia mbali kufanya lolote kwenye mishahara au posho zao?
Sijawahi na hawawezi fanya hivyo hata siku moja maana huwa wanafaidika na hizo hela moja kwa moja. Kama siyo hizo huwa wanafanya replacement na zile za misaada-moja inapigwa na nyingine inatekeleza mradi kwa kiwango cha chini ili kutoa sooo
 
Anacheza na akili za watu.

NB:
"Hakuna Mtu mjinga Duniani"
 
Sijawahi na hawawezi fanya hivyo hata siku moja maana huwa wanafaidika na hizo hela moja kwa moja. Kama siyo hizo huwa wanafanya replacement na zile za misaada-moja inapigwa na nyingine inatekeleza mradi kwa kiwango cha chini ili kutoa sooo

Hii ndiyo watu wanasema - tumepigwa!
 
Huku pamoja na mishahara mikubwa posho na marupurupu...wameambiwa wale pia kwa urefu wa kamba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Some time ni better apogee tuu mshahara kuliko wanayoyafanyaga

Wanasema heri ya nusu shari mkuu. Huku kwetu looh:

IMG_20220404_113346_582.jpg
 
Kinachotakiwa ni: maendeleo, uchumi wa viwanda, ajira kwa wananchi, mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji, kilimo cha kibiashara, utawala bora n.k; hayo mengine ni maigizo tu.
 
Back
Top Bottom