- Thread starter
- #21
Kinachotakiwa ni: maendeleo, uchumi wa viwanda, ajira kwa wananchi, mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji, kilimo cha kibiashara, utawala bora n.k; hayo mengine ni maigizo tu
Nyerere aliyafanya haya:
"In October 1966, around 400 university students marched to State House to protest this. Nyerere spoke to the crowd in defence of the measure, and agreed to reduce government salaries, including his own."
Una maana hawa wetu ambao mishahara na posho zao ni siri, ila tozo kwetu moja baada ya nyingine kuongezwa kila leo ndiyo hawafanyi maigizo?
Si kuwa haya ya ulaji kwa urefu wa kamba za watu kwetu ni tatizo zaidi?