Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

Kinachotakiwa ni: maendeleo, uchumi wa viwanda, ajira kwa wananchi, mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji, kilimo cha kibiashara, utawala bora n.k; hayo mengine ni maigizo tu

Nyerere aliyafanya haya:

"In October 1966, around 400 university students marched to State House to protest this. Nyerere spoke to the crowd in defence of the measure, and agreed to reduce government salaries, including his own."


Una maana hawa wetu ambao mishahara na posho zao ni siri, ila tozo kwetu moja baada ya nyingine kuongezwa kila leo ndiyo hawafanyi maigizo?

Si kuwa haya ya ulaji kwa urefu wa kamba za watu kwetu ni tatizo zaidi?
 
Hawa wetu ambao mishahara yao na posho zao ni siri. Kutwa kucha kutuongezea tozo ndiyo wako vizuri mkuu?
Hawako vizuri Mkuu, ila huyo kuna kitu nyuma ya pazia ana taka kufanya au keshafanya.Ogopa sana watu wa aina hiyo Mkuu.
Nb:
"Hakuna Mtu mjinga Duniani "amini usiamini
 
Anajua anachokitafuta mbele hio ni strategy tu ya kuingiza kingi
 
Raisi wa Zambia ni Kati ya Marais matajiri Afrika, bahati nzuri yeye tajiri toka miaka mingi kabla ya kuwa Rais.

Ni sehemu ya umiliki wa kampuni ya bidhaa za maziwa na nyama ZAMBEEF, hiyo kampuni kubwa sana inasambaza bidhaa za nyama na maziwa ya kila aina ndani na nje ya Zambia.
 
 
Huyu jamaani ni tajiri no 1 Zambia, hakuingia madarakani kutafuta kazi ili alipwe bali kutumikia WaZambia. Kwa hiyo, hako kamshahara ka uraisi sio dili kwake kwa sababu tayari hela anazo
 
Jamaa alikuwa mfanya biashara mkubwa tu huko kwao Zambia kwacha za kizambia c kitu kwake
 
Mbwembwe tu, alishateua ndugu zake kwenye vitengo akiwemo mtoto wake wakati alikuwa akiponda aliepita.
Haya ni maagizo tu kama ya yule jamaa aliyesema anajishushia mshahara.
Halafu kutopokea mshahara sio kipimo cha kufanya kazi.
Watu wanataka maisha bora na maendeleo sio story za wewe kutopokea mshahara hiyo ni political mileage tu.
 

Kuna kuongeza tozo, vita za Ukraine na kuna hawa:

 
anapenda au ndo katiba mpya?😂
 
Posho anachukua ?

Isijekuwa anaacha mshahara wa alafu anachukua posho ya mara hamsini ya mshahara wake...

Cha maana achukue mshahara wake ili akidhi maisha na vilevile abane matumizi na kama yeye ameweza kuishi miezi nani bila salaru huenda its about time waangalie huenda wanacholipwa ni kikubwa sana..

Anyway heko kwake ili isijekuwa ni maigizo tu
 
Hapo jirani Uganda mtu akiingia ikulu anahakikisha anao mshahara mnono, wakwe zake anawapa ukatibu mkuu, watoto wanapewa ubunge na ukuu wa majeshi, wapwa uwaziri, nyumba ndogo ukuu wa mkoa, besti anapewa wizara ya fweza.
 
Hichilema is the richest man in Zambia. Posho hachukui Ila huduma zote kuanzia chakula Hadi malazi anapewa bure na serikali.
 
Huenda utakuwa humjui vizuri HH inavyoonesha. Hichilema akiendelea namna alivyo sasa anaweza kuwa miongoni mwa Viongozi wenye kupaswa kuigwa Africa. Anastahili kuwekwa group la akina Nyerere, na Nelsonn Mandela.
 
Sifa too much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…