Hakainde anaongea kweli toka moyoni hachukui mshahara wa serikali. Lakini pia hakainde ni bilionea ana ranchi kubwa sana za mifugo nadhani ndio tajiri wa kwanza au wa pili zambia. Mimi nimefika lusaka naifahamu.
Hapo jirani Uganda mtu akiingia ikulu anahakikisha anao mshahara mnono, wakwe zake anawapa ukatibu mkuu, watoto wanapewa ubunge na ukuu wa majeshi, wapwa uwaziri, nyumba ndogo ukuu wa mkoa, besti anapewa wizara ya fweza.