Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Poor management na wizi uliokithiri kuanzia kwa Manager Mkuu mpaka mfagiajiHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor management na wizi uliokithiri kuanzia kwa Manager Mkuu mpaka mfagiajiHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Anauza meli ili anunue mpya, sio kwamba anaachana na hiyo biashara.Wakati rais wa Zanzibar anauza Meli, Rais wa Tanzania yuko busy kusaini mikataba mipya ya kununua ndege
Incompetent, lack of confifence, corruptsBiashara ya serikali sio yako binafsi ,Serikalini kumejaa incompetent people ambao hupewa Kazi kwa kujuana na sio uwezo unlike private sector.
Ili biashara za serikali zifaulu lazima ajira zizingatie uwezo na ziwe za mkataba yaani performance based ndio tija itapatikana .
1.Kwa sababu ni mali ya umma, every body's propaties is noboby's property... 2.Wizi 3.Uzembe wa mwenye mali.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Amekengeuka. Halafu hatma yake itakuaje maana lengo ni kuwapatia wananchi huduma muhimu ikibidi kwa kodi ya umma.Kuna haja ya kubadili mifumo ya nishati ya meli za serikali. Serikali iangalie uwezekano wa meli zote mpya zinazojengwa ziwa Victoria, Tanganyika na bahari ya Hindi kutumia nishati ya gesi ambayo ni nafuu sana ili meli hizi zianze kuendeshwa kwa faida.
Mwinyi pia angefanya 'last attempt' kwa kutenga fedha na kununua gas fired engines na kufunga kwenye baadhi ya meli, hasa zile ambazo ni mpya-mpya aone kama ufanisi utaongezeka kwa kupugua kwa gharama ya nishati.
Gas is our future...
Meli mpya inachukua miaka takribani 15-20 bila kuchakaa.Anauza meli ili anunue mpya, sio kwamba anaachana na hiyo biashara.
Sasa Cha kushangaza meli ina miaka mitano, inachakaaje? Miaka mitano kwa meli ni michache Sana
Pia hata akinunua mpya bado watendaji ni haohao, Kuna kitu hakipo sawa. Huenda Kuna watu wamemshawishi awauzie
Mungu anawaumbua wana shindwa kila mahaliWauze wanachotaka wakimaliza watuachie Nchi yetu.Mwenyezi Mungu hawatupi waja wake.
Mzee anataka kuingiza meli zake. lakini wazanzibari ni mafidadi kuliko nchi zote afrika.Hata kwa kanuni simpo ya Pythagoras haiingii kichwani. Ninanusa watu wanafanya biashara nyuma ya pazia na wanataka biashara zao zisitawi. Serikali inakosa meli hata moja? Na mnajiita serikali? Bora hako kazanzibar kawe moja ya mikoa ya TZ bara
🏃🏃🏃🏃🏃💨💨💨
bro biashara zina figisu nyingi sana. na serikal inataka kila kitu kifuate utaratibu. hicho kitu kwenye biashara hakitakiwi.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
shida ni nini kinafanyika baada ya kupewa hiyo dhamana,unaweza mbeba mtu lakini akawa na uchungu na mali za umma.Ajira za kubebana ndugu, rushwa, kujuana ,vimada nk.
Ofcourse. Most of these vessels were acquired to 'unite' the two islands infrastructurewise so there is an urgent need to retain some of them and to keep them up and running as long the shipping company can cover the variable costs.Halafu hatma yake itakuaje maana lengo ni kuwapatia wananchi huduma muhimu ikibidi kwa kodi ya umma.
Biashara inahitaji uwajibikaji na displine ya hali ya juu. Uwajibikaji serikalini ndio mtihani mkubwa sana.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Precision Air inatusua alafu ATCL hasara tupu.Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??
Does it stick in mind?
Kwasababu wanaajiri watu wenye degree mpaka MBA ambao hawajui biashara.Hivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Vitu vya ajabu ajabu sanaPrecision Air inatusua alafu ATCL hasara tupu.
Hahaha sasa tusisime?Kwasababu wanaajiri watu wenye degree mpaka MBA ambao hawajui biashara.
Mkinga mmoja tu drs la Saba anaendesha hoteli kubwa kariakoo kwa faida kubwa tu lkn hotel hiyo hiyo ukimpa msomi mwenye master's in business administration.
Miezi mitatu mingi wafanyakazi hawapati mishahara. Mnakumbuka IMPALA HOTEL
MT USAMBARA HOTEL
EMBASSY HOTEL
NA SASA PEACORK mtaniambia
Inshort serikali haiwezi biashara.Vitu vya ajabu ajabu sana
Uko sahihi Mkorinthoshida ni nini kinafanyika baada ya kupewa hiyo dhamana,unaweza mbeba mtu lakini akawa na uchungu na mali za umma.
kama mtu anakosa uchungu na mali za umaa,huyu hata angefanyiwa usaili wa namna gani atafanya madudu tu.
Someni kuondoa ujinga.Hahaha sasa tusisime?