Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji.

Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana.

Salum Issa Ameir ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Vijana. Hassan K. Hassan ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo.

Aidha Rais amemteua Ameir Moh'd Makame kuwa Kamishna wa Idara ya Michezo.

IMG_20210525_004134_312.jpg
 
Zanzibar ni nchi au sio nchi? Hili swali kuna viongozi wa kitaifa hawawezi kujibu.
 
Back
Top Bottom