Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

Nani anayemhitaji huku Tanganyika? Kwani watu wamekwisha? Labda Russia waingie hapa na kutumaliza tunao vijana wengi tena very bright
 
Hivi huu muungano wetu ukoje
Mkuria anaweza kuwa mgombea Zanzibar kweli au wakojani tu ndiyo wana haki ya kugombea kokote

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
"Tutaandamana" wewe na akina nani?
Kama ni jamii hii ya kibongo unaitegemea.. tegemea disapointment
 
Nawakumbusha tarehe hizi za mwisho wa mwezi ndo tarehe zake huyo popoma .
Sio mm ni kwa mujibu wa Dr wake .
 

Wewe. Ni ndumila kuwili haueleweki acha tupige kaz
 

Acha kaz iendelee
 
Wewe mleta mada mnyarwanda mambo ya Tanzania tuachie wenyewe

Tafuta na kupendekeza baada ya Kagame nani anatakiwa kuwa Raisi wa Rwanda

Tanzania tunao kibao wenye sifa kibao akiwemo Hussein Mwinyi hatuhitaji mapendekezo kutoka kwa mya rwanda wewe

Tueleze Kagame akitoka nani unafikiri aweza kuwa Raisi wa Rwanda iwe kwa kuezeka etc jikite huko

Tanzania tuna utajiri wa viongozi
 
[emoji1751][emoji1751]
 
Kigeugeu Huyoooo
 
Mahaba yako binafsi kwa Rais Hussein Mwinyi usidhani ni matakwa ya Tanzania. Achana na mawazo potofu Ghati. Utasubiri sana.
 
Jembe angeendelea angemaliza huyo ndio angekuwa wakumrithi lakini kwa jinsi mzunguko ulivyo itabidi akae mtu kutoka nchikavu otherwize Mwinyi ana anatufaa.
 
Wewe mleta mada mnyarwanda mambo ya Tanzania tuachie wenyewe

Tafuta na kupendekeza baada ya Kagame nani anatakiwa kuwa Raisi wa Rwanda...
Sikumbuki ni lini umewahi kuwa na Akili JF.
 
Jamaa ni linafiki sana . linapigaga zogo hapa kuwa katika marais linaowakubali ni .
1.Nyerere
2. Mkapa na
3. Magufuli
Ukiangalia wote hao ni wa imani yake.
Haiingii akirini kuwa mtu hamkubaligi mzee mwinyi , harafu Leo anatamani mtoto wa Mwinyi aje kuwa rais.

Nikukumbushe tu ndugu popoma nenda kamwambie mtoto wa Magufuli yule kibonge 2025 achukue form apambane na mama .
 
Ni Genta huyu huyu ninayemfahamu mimi ndiye ameyasema haya au "kahakiwa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…