Rais wangu Samia, hawa wanakuharibia pakubwa wanaoigiza ukatoliki kukugombanisha na Wakatoliki/TEC. USIRUHUSU UPUUZI KAMA HUU

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo!
Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo!

Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
 
Ameamua kunyamaza swala la utekaji uuwaji hawezi kuona hili kama linafanya damage kwenye swala la dini.

Awaulize boko haram wanaonja joto ya jiwe.

Let’s zoom sura za hawa wapuuzi waliokubali kujidhalilisha wadhalilishwe mitaani kwao.
 
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo!
Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo!

Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
Mkuu usimstue mwache azidi kujipaka kinyesi azidi kunuka, anategemea mpuuzi kama Mwigulu Nchemba atampa ushauri gani kama siyo ujinga tu.
 
Good grief!!

Unamuita “rais wangu”?

Nchi imejaa mamburula hii…..acha tu CCM waendelee kutawala.

Utamuitaje mtu aliyeua maelfu wa Watanzania “rais wangu”?

Nani kamchagua awe rais wako?

Pumbavu kabisa. Una matatizo ya akili wewe.

Na ndo maana kila siku unaanzisha vi mada vya sentensi moja moja!

*** you.
 
Sijui kwa nini anatakasa kisichotakasika,
 
Good grief!!

Unamuita “rais wangu”?

Nchi imejaa mamburula hii…..acha tu CCM waendelee kutawala.

Utamuitaje mtu aliyeua maelfu wa Watanzania “rais wangu”?

Nani kamchagua awe rais wako?

Pumbavu kabisa. Una matatizo ya akili wewe.

Na ndo maana kila siku unaanzisha vi mada vya sentensi moja moja!

*** you.
Alafu anajifanyaga Chadema damu.

Kumbe mshenzi mmoja tu
 
Good grief!!

Unamuita “rais wangu”?

Nchi imejaa mamburula hii…..acha tu CCM waendelee kutawala.

Utamuitaje mtu aliyeua maelfu wa Watanzania “rais wangu”?

Nani kamchagua awe rais wako?

Pumbavu kabisa. Una matatizo ya akili wewe.

Na ndo maana kila siku unaanzisha vi mada vya sentensi moja moja!

*** you.
Hivi yule Nyani Ngabu wa X ndio wewe...?!
 
Achana na mambo ya matusi kwa wazazi hawahusiki na ujinga wa mtu binafsi
Nitamtukana tusi lolote akinitukana. Nalijua sana hilo liko USA. Sina tabia ya matusi lkn mtu akishindwa kujini joja akatukana nitamrudishia, potelea mbali
Actually nilimblock siku nyingi
context ya kuandika rais wangu ni kumdhihaki tu!
 
🖕
 
Taifa limeacha kufanya siasa za kiitikadi Sasa limehamia kwenye siasa za kiimani. Hatufiki tunakokwenda bila kupasuana kikwelikweli Hadi kieleweke!
Samuya, marekani siku ya xmass alikuwa anawanyoosha wavaa kobasi wenzako kule Nigeria na sababu unaijua. Sasa wewe chekeleeni hui ujinga baadae muanze kulia kimaduro hapa. Palilieni vizuri na mbolea msisahau kuweka ili mpate mavuno mengi! Si mbali, karibu tutafika na sisi huko!
 
Back
Top Bottom