Rais wangu Samia, hawa wanakuharibia pakubwa wanaoigiza ukatoliki kukugombanisha na Wakatoliki/TEC. USIRUHUSU UPUUZI KAMA HUU

Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo!
Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo!


Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
Acha upumbafu kijana
 
Mseng.e sana huyo jamaa
 
Nchi haina rais ila kuna kundi la raia wachache wanaongoza raia wengi kwa kutumia dola

Kuhusu ushauri wako ulompa bi chura..ameutupilia mbali
Huyo ni bi chura kiziwi pimbi empty head!
 
Repercussions zote na after effects zinarudi kwako. Kataa upuuzi kama huo!
Inajulikana worldwide kuwa Wakatoliki halisi hawawezi kufanya ushetani kama huo!

Kuwa macho na walioandaa ujinga huo. Wanakuharibia!
naunga mkono hoja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…