Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe.
Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu 2025.
Utakumbuka kuwa mwaka ijana uliagiza vyombo vya ulinzi na usalama vichunguze matukio ya watu kutekwa na kuuawa; mbona mpaka leo hakuna ripoti yoyote kutoka kwa vyombo hivyo?
Au ripoti umepewa wewe kimyakimya?.
Rais wangu, naomba uchukue hatua sasa, hujachelewa. Kumbuka zile ni damu za watu, roho za watu.
MUNGU HAFURAHII.
Mimi kama mzalendo wa taifa langu, nakusihi kwa moyo wa upendo na heshima.
MUNGU IBARKI TANZANIA.