Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

Atakusoma ila atakudharau. Hata ile mikutano ya kuwasikiliza wananchi haipo tena.

Pitiable kwa Lucas Mwashamba, Mwijaku Malaria2, Johnnaptist na chawa wengine.
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?

Rais ana ratiba ngumu, kazi za kuongea mara kwa mara hizo ni za wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi.
 
Atakusoma ila atakudharau. Hata ile mikutano ya kuwasikiliza wananchi haipo tena.

Pitiable kwa Lucas Mwashamba, Mwijaku Malaria2, Johnnaptist na chawa wengine.
Malaria 2 mtoe kwenye hiyo list..ameshaujua ukweli nao ukamweka huru.
 
Haha, chawa wengine watajitokeza, wengine tayari wamejitokeza.

Kuna matukio muhimu hapa nchini zaidi, kuiba kura, kuengua wapinzani, kuteka, kufunga, kuua.

Jaji Warioba amejaribu kumbeep. Umeona chawa wake na majibu yao. Mdau aliyeulizwa swali Wewe atapotezwa kabisa. Simshauri amtafute Samia anajua kila linaendelea zina baraka zake.
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
Afanye kitu kinaitwa Triangulation, apate majibu toka vyanzo 3 vinavyo jutegemea badala ya singke source
 
Kuna utaratibu nchi nyingine anaongea na wana habari kila mwezi na kujibu maswali yao. Zingine kila wiki anahojiwa na upinzani kama PMQ UK.

Hapa Tanzania atajibu mipasho anyway. Usitegemee kitu chochote cha maana kutoka kwa huyo.
 
Jamani mama anisaidie nina shida sana sana.Naomba wenyewe wamfikishie nahitaji msaada mimi mtoto wake,na Mungu atambariki.
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
wewe unahangaika naye wa nini, mwache.
 
Kipindi cha Rais Mwinyi alikuwa na utaratibu wa kuwasikiliza wananchi mara kwa mara pale ofisi za CCM Lumumba na hata viongozi wa chini ma RC na ma DC walifuata utaratibu huo katika maeneo hayo kusikiliza na kutatua kero za wananchi,watawala wa sasa hivi hawezi kufanya hivyo kwa sababu nao ni sehemu ya kero kwa wananchi,wanaogopa kupelekewa ushahidi jinsi wanavyojaza kura fake kwenye masanduku ya kura na jinsi walivyokuwa sehemu na wafadhili wa kuteka watu.
 
Aje aseme nini ..aongee nini ...
'kifo ni kifo tu'
 
Ili iweje, unadhani huyo ni bibi yako mkuu...
Kwamba utampigia utakavyo na kumwambia Kila neno ulitakalo.

Nadhani hata kwako Kuna mipaka
 
Kuna utaratibu nchi nyingine anaongea na wana habari kila mwezi na kujibu maswali yao. Zingine kila wiki anahojiwa na upinzani kama PMQ UK.

Hapa Tanzania atajibu mipasho anyway. Usitegemee kitu chochote cha maana kutoka kwa huyo.
Hivi Tanganyika kuna wana habari au ulimaanisha wapasha habari?
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
Sijui kama atakusikia maana anaamini ulinzi wa binadamu ambao hawakawii kukugeuka.
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
Maoni peleka kwa sheha/mtendaji kijiji, huna hadhi ya kuwasiliana moja kwa moja na Dr president wewe.
 
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
Hawezi kusikia sababu wakiiba wanatunuku PhD za kitapeli naye ni mpenda sifa analewa sifa
 
Back
Top Bottom