Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

Kuwapa majina ya watu viwanja,barabara sio ujinga tu Bali ni upumbavu kwanini wasitafute jina zuri linaloshabiiana na mahali uwanja ulipojengwa
Hata nchi zilizoendelea watu waliofanya makubwa wanaenziwa
 
Back
Top Bottom