Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

Wote mliokubaliana na mtoa mada ni mnawaza:-
JamiiForums-947551065.jpg
 
Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa matatu ni kwanini hata jeshi la NaVY walishindwa kuwaokoa. Ukianagalia historia ya ajalia hatarishai, za MV Bukoba, ferry la ukara, na hii ya ndege..serikal haikujali maisha ya wananchi hata ya kuwa na helicopita ya kusaidia kuokoa maisha ya watu kama jana.

Baadhi ya ndugu zetu na marubani walikuwa hai kwa zaidi ya masaa matatu kwanini tumeshindwa kuwaokoa. UKweli, kutokana na haya tunaomba viongozi wajiuzudhuru nayizfa zaio ikiwemo na makibu wakuu waote wa wizra husika.

Kam wananchi tunaumia san akuona vifo vinatoke harafu viongozi hawaonyeshi hata soni juu ya haya. Viongozi wajue kunasiku ndege itazama wakiwa ndani, je hawataokolewa? Tunaomba viongozi muwajibike kwa kujiuzuru nakuomba radhi kwa kutufanyia uzembe ulio zidi
Mtoa mada umevuta bhangi la wapi wewe!, hata la Chato sio kali namna hiyo!
 
nani ajiuzulu? labda kwa cuba lakini si bongo land sahau !! msiba tulimaiza jana na kijana kashapata promo na familia zishapata kifuta majonzi - business as usual.
 
Suala la kujiuzulu viongozi ni jambo geni, haliwezekani.. nakumbuka aliye wahi kujiuzulu ni ndugai pekee, nae kwa kulazimishwa na raia namba moja
Ali Hassan Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani alijiuzulu ! Na Edward Lowassa akiwa Waziri mkuu alijiuzulu pia. !
 
Back
Top Bottom