Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

Mtoa mada umevuta bhangi la wapi wewe!, hata la Chato sio kali namna hiyo!
 
nani ajiuzulu? labda kwa cuba lakini si bongo land sahau !! msiba tulimaiza jana na kijana kashapata promo na familia zishapata kifuta majonzi - business as usual.
 
Suala la kujiuzulu viongozi ni jambo geni, haliwezekani.. nakumbuka aliye wahi kujiuzulu ni ndugai pekee, nae kwa kulazimishwa na raia namba moja
Ali Hassan Mwinyi akiwa waziri wa mambo ya ndani alijiuzulu ! Na Edward Lowassa akiwa Waziri mkuu alijiuzulu pia. !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…