Rais wetu Dr.Samia anafanya mambo mazito kweli huku St.Petersburg

Rais wetu Dr.Samia anafanya mambo mazito kweli huku St.Petersburg

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Salute to madam you did well and excellent
1000003554.jpg
 
Pls if you can,review HOTUBA ya rais wetu katika mkutano unaoendelea hivi sasa,angalia TBC,right now!
 
Salute to madam you did well and excellent View attachment 3601715

Hivi wewe ni mzima kabisa, au zinakuja na kupotea? Watu tunafungua haraka ili tuone hayo makubwa aliyoyafanya Samia, wewe unatuonesha picha za bendera!! This is really crap!

Nendeni shule, msipende elimu za kuunga unga. Unapoleta taarifa iwe inayojitosheleza. Hiki ulichokileta hapa ni uchafu.!

Siku nyingine ukitaka kuleta taarifa, uwe umetulia akili kwanza, usiwe kwenye mihemko, orodhesha hayo mambo aliyoyafanya Samia ambayo unayaona ni mambo mazuri au makubwa. Ninyi mmefanya Samia kama vile mdori,.mnamwandika kila wakati kama vile ni ngoma ya kuchezea. Kumtajataja mtu bila sababu ya msingi msidhani mnamjenga, mjue mnamdhalilisha.

Hata Mungu wa mbinguni , kwenye amri alizompa Musa, mojawapo ilikuwa, usitaje bure jina la Mungu wako. Mungu siyo mtani wako, hivyo isimtaje bure bila sababu.
Na wewe kama unampenda Samia au unamheshimu, usimtaje hovyp hovyo bila sababu. Unapomtaja ovyo, unamtengenezea mazingira ya ama kusemwa vibaya au kudhalilishwa.
 
Salute to madam you did well and excellent
Taarifa umeleta utafikiri wote tulikuwa kwenye TV tunamuangalia Samia. Huko shuleni ulienda kusomea Ujinga - Faizafoxy.

Elezea amefanya mambo gani mazito Russia.

Be a Man, weka maelezo yamenyooka, kueleza habari nusu nusu ni kiherehere na tabia za kimbea (za kike).
 
"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua." Mwalimu J K Nyerere
 
Back
Top Bottom