Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Aisee, kweli ametengeneza bendera nzuri zinavutia hata wazungu.Salute to madam you did well and excellent View attachment 3601715
Aisee, kweli ametengeneza bendera nzuri zinavutia hata wazungu.Salute to madam you did well and excellent View attachment 3601715
Mambo mazito kivip? Elezea kwa undani
ChaiNimemfuatilia live kupitia rt news live, kaongea hoja tupu
Na wamemuelewa, nipo nafuatilia aisee inapendeza sana!
Kwenye Rais wenu mm nitoe kabisa sitaki.Pls if you can,review HOTUBA ya rais wetu katika mkutano unaoendelea hivi sasa,angalia TBC,right now!
Sikumaanisha hizo bendera,hapana nilitaka mumchungulie jinsi alivyokuwa akiulizwa maswali na kuyajibu kwa usahihi wa hali ya juu sana.Kwa Akili ndogo kama hii unaishije Huko mtaani kwako?
Hayo mambo mazito yako wapi? Kwahiyo hawa uvccm wa Russia wakipeperusha bendera ndiyo kufanya mambo makubwa?
Wewe rais wako si yule mwanaharakati hakuna shida ni maamuzi yako tu,Kwenye Rais wenu mm nitoe kabisa sitaki.
I didn't mean so!..,chandomoAisee, kweli ametengeneza bendera nzuri zinavutia hata wazungu.
Wana cha-nde-ma mnashida kweli.
Wewe itakuwa umeishi urusi muda mrefu sana.Hao hawashangilii bure. Huwa wanalipwa kama wale watoto wa maonesho ya halaiki Taifa. Wadanganye wajinga
Huyo namfananisha na chadema tu,hawakushiriki uchaguzi,wanawezaje kusema uchaguzi haukuwa huru ingali hawakushiriki, its so amusing!...Wewe itakuwa umeishi urusi muda mrefu sana.
Kuna mambo yanastaajabisha sana.Kwa Akili ndogo kama hii unaishije Huko mtaani kwako?
Hayo mambo mazito yako wapi? Kwahiyo hawa uvccm wa Russia wakipeperusha bendera ndiyo kufanya mambo makubwa?
"Mama anapendwa mpaka na Wazungu!"Mama anapendwa sana