Weka na reference mkuuKwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
Kumbe ni hilo?Kusema ukweli ni kumdharau mtu?Nape allichofanya ni madharau kwa Rais..
Imagine, tulishambiwa tuhamie BurundiKwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
Ccm huwa wanashinda uchaguzi kwanamna yoyote ile.Mnielemishe. Hivi Nape alisema nini?.