Alishasema yeye ni Shabiki wa Simba, rais wa Nchi ya Wagagagigikoko ni shabiki wa Simba mnyamaSawa
Magufuli nae alikuwa yanga lialiaHuyo mama sio mtu wa Michezo na mambo ya mpira.
Wazanzibari tena wanawake na mpira wapi na wapi????
Analazimisha aomekane mtu wa Michezo kwasababu za Propaganda
Nyerere.
Mkapa
Mwinyi
Samia
Hawa hawajawahi kuwa watu wa michezo kabisa ni Kikwete peke yake na Yanga yake tangu 1965 ana kadi ya yanga ndio rais mwana michezo pekee.
magufuli angekuwa yanga manji asingekimbia nchini. Magufuli ndiye aliyeisababisha Yanga idorole kiuchumi na kutembeza bakuli,ndipo simba akajiinua na kuwa bingwa 4times. Alipokufa magufuli uliona wapi simba anawika mbele ya yanga?Magufuli nae alikuwa yanga lialia